kishiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Eneo la Kishiri limeendelea kupata huduma kila wiki kadri migao ya maji inavyotekelezwa

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja iliyoandikwa ~ Mwezi wa 4 hatuna maji Kishiri - Mwanza, tunanunua dumu Sh 1,000, tunapewa sababu zisizoeleweka. MAJIBU YA MWAUWASA... Habari Mdau wetu, pole kwa changamoto uliyoipata, tafadhali tujuze ni...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mwezi wa 4 hatuna maji Kishiri - Mwanza, tunanunua dumu Sh 1,000, tunapewa sababu zisizoeleweka

    Mtaa wa Mayengela uliopo eneo la Kishiri-Igoma, Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza tuna kero yetu ambayo imekosa ufumbuzi kwa miezi kadhaa sasa. Tangu Machi 2026 hadi sasa hivi Agosti 2026 ni takriban miezi minne kamili, Mtaa wetu wa Mayengela hauna huduma ya maji safi kabisa, Wananchi tunapitia...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uharibifu wa Mazingira KISHIRI na FUMAGILA (Mwanza)

    Kuna shughuli hatarishi zinaendelea katika maeneo ya Kishiri na Fumagila kutokana na uchimbaji holela wa mchanga. Hali hii inaleta madhara makubwa kwa mazingira na usalama wa jamii. Ni wakati wa kuchukua hatua za haraka. Tukemee uovu huu na kulinda mazingira yetu. Mamlaka husika zichukue...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nyamagana, Mwanza: Miundombinu mibovu inasababisha mazingira magumu kwa wanafunzi wa shule ya msingi Kanindo iliyoko kata ya Kishiri

    Naomba kuuliza mamlaka husika je hawaioni hii changamoto katika shule hii. tatizo la maji mtaa wa kanindo limekua ni tatizo kubwa ni muda sasa japo kua mradi wa maji uko mtaa jirani wa Sawa. na mradi usha kamilika lakini utekelezaji wa kusambaza maji bado ni changamoto. Shule ya msingi kanindo...
  5. JamiiForums Tanzania Safi sana mama yangu samia suluhu hassani kwa hili

    Naanza kwa kumpongeza rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania , mama yetu Samia Suhulu Hassan katika raisi aliefanya mambo makubwa pia jina la Samia suluhu hassani haliwezi kukosekana. Leo ukifika kishiri hkuna vumbi tena ni mwendo wa lami ni kuteleza tu mwaaaaaah hakuna kupauka na wasukuma...
  6. JamiiForums Tanzania Plot4Sale KIWANJA KIZURI SANA, KINAUZWA KISHIRI MWANZA

    WAHI UJIPATIE KIWANJA KIZURI SANA, BEI 3 Million. ENEO: BUKAGA, KISHIRI KIMEPIMWA, KUNA BIKONI KABISA. Hatua 21 kwa 17. NYARAKA: HATI YA MAUZIANO BARABARA INAPITIKA VIZURI NI KIWANJA CHA TATU TOKA BARABARA KUU YA UELEKEO WA Kona ya FELA. MIUNDOMBINU YA MAJI NA UMEME NI UHAKIKA. MAWASILIANO...
  7. JamiiForums Tanzania Responded MWAUWASA: Tumeandaa Mradi wa Tsh. Bilioni 8.4 kufikisha Huduma ya Maji maeneo ya Kishiri na jirani ambayo hayana huduma hiyo

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu changamoto ya huduma ya maji iliyopo katika Kata ya Kishiri, ufafanuzi wa Mamlaka ya Maji Mwanza umetolewa. Kujua alichokisema Mdau huyo unaweza kubofya hapa ~ Changamoto ya maji Kanindo Kata ya Kishiri, Wilaya ya Nyamagana ==== ==== Neli...
  8. JamiiForums Tanzania Igoma - Kishiri - Buhongwa

    Hapa kuna barabara ambalo kimsingi linahudumia watu wengi, na kwa wengi sana limekuwa ni msaada mkubwa kwa kuwawezesha watu kufika Buhongwa bila ya ulazima wa kupita mjini kati. Siku za hivi karibuni linatumika sana hata na magari makubwa na ukweli ni kwamba litakuwa ni msaada mkubwa sana...
  9. JamiiForums Tanzania Barabara ya Buhongwa - Sahwa - Kishiri - Igoma imetelekezwa

    Nawasalimu kwa jina la jamuhuri Kiukweli inaskikitisha kuonana barabara muhimu kama hii ya kuķtoka buhongwa mpk igoma ikiwa imetelekezwa. Mbunge wetu wa nyamagana nae yupo kimya tu. Barabara ina mahandaki hatari sehemu ya kwenda kwa dakika 5 unatumia nusa saa wanateseka wa mama...
  10. JamiiForums Tanzania Barabara ya Igoma - Kishiri

    Kwako Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Meya na Naibu Meya wa Jiji la Mwanza, Mkurugenzi TARURA mpaka mamla husika hapa jijini Mwanza. Kwako Rais wetu mpendwa Dr. John Magufuli. Rais wangu kipenzi cha Watanzania watajwa hapo juu wameifumbia macho BARABARA ya IGOMA Kishiri, ambacho ni kipande kidogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…