Wakuu ndugu zangu
Ni kwa yale maneno ambayo mwanaume anachomekea kama masikhara, mfano ktk kazi.
Unafanya kazi ya boda mwanamke kashuka kwene chombo, unafanya kama umeshika kiti pale alipo kaa alaf wajisemea akiwa anakusikia aisee nusu kiti kiunguwe inalekea nanii ako ni so hot, akicheka cheka...