kiluwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Mkataba wa Kiluwa wa Trilioni 17 wa kujenga viwanda Pwani ni zaidi ya Utajiri wa Mo Dewji (Tajiri Namba Moja Afrika Mashariki)

    Mfanyabiashara wa Tanzania Kiluwa amesaini mkataba wa ubia wa uwekezaji wenye thamani ya Dola za Kimarekani Billion 7 ambazo ni zaidi ya Trillion 17 na billion 800 za Tanzania kwa lengo la kuanzisha na kuendeleza viwanda vikubwa nchini Tanzania katika Mkoa wa Pwani. Hivi Kiluwa sindiyo yule...
  2. O

    KUMBUKIZI (2019): Magufuli alipompokonya Ardhi ya Ekari 1,000 Mohamed Kiluwa hadharani kwa udanganyifu

    Tarehe 7 Juni 2019 aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayatui Magufuli alikutana na wafanyabiashara kutoka Kila Mkoa Ikulu ya jijini Dar es Salaam. Ref: Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka kila Wilaya nchini. Ataja changamoto za...
  3. MAFILILI

    Mohamed Kiluwa kashindwa kuendana na zama hizi

    Siyo siri tena ujasiriamali wa Kiluwa kuweza kukusanya rasilimali pesa kwa wageni huku akitumia udhaifu wa mfuko wa Halmashauri zetu na Serikali ya mkoa wa Pwani umegota rasmi leo pale magogoni kutokana na Rais Magufuli kuungana na Lukuvi kupingana na aina ya fursa anazochangamkia Kiluwa...
  4. Y

    Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka kila Wilaya nchini. Ataja changamoto za biashara kwa Serikali na Wafanyabiashara

    Rais Dkt John Magufuli anaongea na Wafanyabiashara Nchini ambapo katika hotuba yake ametaja vikwazo vikuu vya biashara Nchini kuwa ni Rushwa, utitiri wa kodi na tozo, ukosefu wa mitaji, Mawakala wa TPDF na utitiri wa taasisi zinazosimamia biashara. Rais Magufuli anaendelea na hotuba na...
Back
Top Bottom