kiluvya gogoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sonship

    Kiwanja kiluvya Gogoni

    Njoo na ml 10 tu upate kiwanja 20*20 kiluvya gogoni boda buku hadi site piga simu 0675 065906
  2. Sonship

    Plot4Sale Kiwanja Kiluvya Gogoni

    Kiwanja Kinauzwa Kiluvya gogoni umbali km 1.5 tu kutoka moro road kipo upande wa kituo Cha polisi gogoni Bei ni Mln 13 tu Piga simu 0675 065906
  3. Abdul Nondo

    Jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) huko Kiluvya, na Maswali tata

    Tukio la kusikitisha sana limetokea Kiluvya Madukani -Dar ,katika Hotel ya Rovvenpec tar.11/Nov/2024. Ikionesha watu wakimteka Ndg. Deogratius Tarimo(Deo Bonge) na kumlazimisha kuingia kwenye gari. Taarifa ya Polisi. Tanzania waliyoitoa leo tar. 13/Nov./2024 wanakiri kupokea taarifa ya tukio...
  4. E

    Hekari 1.5 inauzwa Kiluvya Gogoni

    Hekari 1.5 inauzwa kiluvya gogoni milion 250 ipo mita 400 kutoka lami Morogoro road ■Huduma zote za kijamii zipo kama umeme na maji ■Kuna kiwanda cha tofari kinafanya kazi hapo ■Hati ya mauziano ni hati ya wizara title deed ■Panafaa kwa apartment nyumba za kupangisha au lodge na hotel 0675...
  5. Z

    Pongezi kwa TARURA Manispaa ya Ubungo kwa kazi nzuri katika jimbo la Kibamba /Kiluvya Gogoni

    Leo tarehe 2/10/2022 nimepita maeneo ya Kiluvya Gogoni kuelekea kwa kawawa/pamoja na shule za sekondari hondogo nimekuta mabadiliko makubwa ya miundombinu, barabara imepigwa mkeka safi kabisa. Pongezi kwa viongozi lakini Pongezi nyingi kwa Rais Mama Samia kwa kuidhinisha mabilioni kwa TARURA...
Back
Top Bottom