kilio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Kigwangala: Mzee Kikwete alisikia kilio cha Katiba Mpya, lakini walewale waliokuwa wanadai walikimbia

    "Katibu tuliyonayo ni Bora sana. Hata kama ina mapungufu, basi madogo madogo sana. Na hayo yanaweza kusubiri kwa Kweli. Mzee Kikwete alisikia kilio cha wadai Katiba Mpya akaanzisha mchakato ili kuyarekebisha, kwa nia njema kabisa; lakini wale wale waliokuwa wanadai walikimbia!"- Kigwangala
  2. JamiiForums Wanawake kuomba pesa kwa wanaume kimekuwa kilio cha kitaifa

    Ni hali tete kila kona wanaume wanalalamika tabia za wanawake kuomba pesa. Siku hizi kumpata mwanamke asiyeomba omba pesa ni kama kuokota embe bolibo chini ya mchungwa. Wanawake wastaarabu wasiyo omba pesa ni kama wameshaisha siku hizi. Wanaume wanalalamika unakutana na dada unampenda...
  3. JamiiForums Bajeti ya Serikali 2021/2022: Naipongeza Serikali kwa kuitikia kilio hiki

    Pamoja ya yote yaliyomo kwenye bajeti ya mwaka 2021/2022. Nashukuru kwa serikali kwa kusikia kilio changu na mapendekezo yangu ya muda kitambo kwa baadhi ya watendaji wetu wa ngazi za chini huku. NINA MAMBO MAWILI MKUU 1. Swala la madiwani, wenyeviti wa vijiji, vitongoji pamoja na mitaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…