kike

The word kike () is an ethnic slur for a Jew.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nashukuru ushauri wa JF nimepata mtoto wa kike

    Husika na kichwa cha habari hapo mnamo mwaka jana niliweza post humu kuwa nimempa mimba binti wa chuomwaka wa pili mimba. Wengi humu walitoa ushauri kwamba nisije jaribu kumwambia huyo binti atoe hio mimba wala nisikatae majukumu kwa sababu mwanakulitafuta mwana kulipata hivyo nikafuata...
  2. JamiiForums Tanzania Wasanii wa kike wa Bongo Fleva ambao walitamba kisha wakatoweka

    Lady Jaydee ndiye gwiji wa Bongofleva kwa upande wa kinadada. Ana miaka 21 katika hii gemu tangu alipoachia wimbo wake wa Machozi mwaka 2000. Amewezaje kudumu katika gemu kwa miaka yote hiyo wakati kuna Wasanii wa kike kibao ambao walimkuta akiwa juu na wamefutika akiwa juu? Hili ni swali...
  3. JamiiForums Tanzania Kilevi kipi kati ya hivi mtu akitumia huwa unamuona wa ajabu sana?

    Jamani embu tuambieni Kati ya vilevi hapo Chini ukimuona mtu anatumia huwa una muona wa ajabu sana yaani hajitambui(hopeless and useless man). 1. Ugolo 2. Gongo 3. Bhangi 4. Mirungi 5. Konyagi na Valeur bila kusahau K vant 6. Mataputapu mengine(ulanzi, kindi, viduchu, kimpumu, kimono n.k)...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana wa kike, mzalendo anayesimamia ukarabat wa reli kilomita 217

    Duh! Akina dada wamechoka kutumiwa na za kutolea, wameamua kuongoza shughuli kwa mbele Eng. Veronica Nyambura (right) with Rift Valley Commander George Natembeya (cemter) on Monday, March 21, 2021. TWITTER For years, the engineering industry was considered a preserve for the male gender but...
  5. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata soko la mashati ya kike

    Wakuu poleni na majukumu. Mimi ni mjasiriamali mdogo niliyejikita katika mradi wa ushonaji. Kimsingi huwa nauza mashati ya shule, nashona kwa oda kwenye shule zinazohitaji na kipindi cha msimu huwa nawauzia mawakala wa Kariakoo. Kwa sasa nimeanza kushona mashati ya kike ya color combo...
  6. JamiiForums Tanzania Total Wampongeza Rais Samia, "Urais wa Samia, Waipaisha Tanzania Kimataifa", Yawahamashisha Watoto wa Kike Kusoma Kwa Bidii, Wawe Kama Samia!.

    Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania, na Taasisi ya Flaviana Matata Foundation, zimempongeza rais wa Tanzania, Rais Mama Samia Suluhu Hassan, sio tuu kwa kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bali pia kwa kuwa rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni mwanamke...
  7. JamiiForums Tanzania PARIS JACKSON: Mtoto wa MICHAEL JACKSON kwenye FILAMU yake ya YESU wa Kike

    Wasaalam wakuu Hivi tunakwenda wapi na DUNIA yetu Mwaka uliopita kulizuka habari juu Paris Jackson, binti wa Fundi wa pop marehemu Michael Jackson, anahusika katika filmu mpya ambayo yeye atacheza kama ,Yesu Kristo kama mwanamke msagaji katika filamu hiyo mpya ya Habit Habit, pia itachezwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mchungaji wa kike atamaniha wanaume

  9. JamiiForums Tanzania INAUZWA Pata pochi za kike kwa bei nafuu

    Habari wakuu, Tumeleta mzigo wa pochi za kina dada nzuri. Tunauza kwa bei ya jumla na reja reja Bei yetu ya jumla ni sh. 13,000/=✓ kuanzia PC tano tu na rejareja sh. 15,000/= Tunapatikana Nyegezi Mwanza Karibu WhatsApp 0763772636 popote zitakufikia kwa bei ya tabasamu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tunashona nguo za kike na za kiume za aina zote

    Habari Wadau, Sisi tunajihusisha na ushonaji wa nguo za aina zote kwanza, Nguo za Harusi ( Suti na Magauni) Uniform za Maoffisi na Mashuleni Mishono ya Vitenge Casual Wear etc Karibuni Ofisi zetu zipo kinondoni Manyanya opposite na American Chips. Mawasiliano 0737610682
  11. H

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu wa kike ameniletea zawadi ya shati na tai hii ina maana gani?

    Ndugu zangu nimebaki nimedua sielewi kwanini hili limetokea kipindi hiki. Rafiki yangu wa kike wa muda mrefu sana ameniletea zawadi ya shati na tai hii ina maana gani? Wajuvi wa mambo naomba mkuje hapa mweleze nini maana yake.
  12. A

    JamiiForums Tanzania I miss to love someone

    Habari zenu wanajamii forums, Miezi 6 iliyo pita mahusiano yangu yalivunjika sababu ambazo zilikua juu ya uwezo wangu. Niliamua kujipa mda kuzipumzisha hisia zangu katika swala zima la mahusiano ingawa kwa huu mda ambao nimejipumzisha na telationship nimekua very social na kuwa na rafiki mmoja...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna ubaya chumba cha watoto wa kike kuwa karibu na watoto wa kiume katika ujenzi?

    Ramani niliyonayo nimeipenda ila hii sehemu ya vyumba vya female na male ndio bado naomba ushauri kama hakuna shida au niongee na mchoraji abadilishe.
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike kuanza nae mahusiano

    Naitwa Junior Mkazi wa DSM nina miaka 27 natafuta mchumba wa kike wa kuanzisha nae mahusiano ya kudumu SIFA: 1.Awe na umri kuanzia miaka 19-25 2.Awe mweupe au maji ya kunde 3.Asiwe mnene sana wala mwembamba sana 4.Dini yeyote 5.Kabila lolote 6.Awe na nidham pamoja na maadili mema 7.akiwa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Yanga Queens mpaka sasa wamefungwa mbili bila

    Baada ya utopolo wanaume , leo ni zamu ya yanga queen mpaka sasa wamefungwa mbili bila na mchezaji wao mmoja kapewa red card kwa kudaka mpira makusudi. Tayari goli tatu. Full time 3-0 tumeshuhudia pira biriani kwa dada zetu
  16. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM kuna wakati wanachekesha sana, Hamis Taletale atoa msaada wa taulo za kike kwa wanafunzi

    Kuna wakati huwa najiuliza kama hawa wabunge waliopita bila kupingwa wana tija yoyote kwa Chama na jamii kwa ujumla. Mbunge wa Morogoro kusini mashariki mh Hamis Taletale aka Babu Tale ametoa msaada wa taulo za kike kwa wanafunzi wa shule moja ya msingi jimboni kwake. Babu Tale amesema msaada...
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba Wa kike

    Natafuta mchumba wa kike umri kuanzia miaka 21-27 awe dar es salaam tukikubaliana tuje kuishi Pamoja Sifa; 1.Awe mweupe au maji ya kunde 2.asiwe mwembamba Sana wala mnene Sana 3.kama atakuwa ameajiriwa itapendeza KWA yeyote aliye tayari tuwasiliane santosdavid554@yahoo.com
  18. JamiiForums Tanzania Unawajuaje member wa kike humu jf

    Mi mpaka leo humu jf nnaowahisi ni member wa kike ni hawazid watano...nyie wenzangu mnawafahamu vp? Maana unaweza kumuita mtu bro kumbe ni pisikalina unaweza kumuita mtu dada kumbe dume..hiz id ni changamoto kwakeli.. Wadada hebu kujeni hapa na mnyoshe vidole juu tuwajue.. Mnaweza kubahatika...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Wimbi la vijana wengi kutembelea gari za kike

    Ndugu zangu Inakuwaje mwanaume mzima anaendesha ka baby Walker? Yaani jibaba nene linatumia kigari cha mkewe? Huoni aibu? Si bora hata upande daladala? Hata Bashite alisema wazi vi gari vya IST ni vigari vya kuhongwa wewe mwanaume huoni aibu? Hii tabia walikuwa nayo wanaume wa Kinondoni, ila...
  20. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Nandy ni msanii namba moja wa kike ambaye tumebarikiwa kwa sasa

    Wasalaam wanajamvi. Kama mnakumbuka ujio wa Nandy alianza baada ya Ruby kukorofishana na Clouds media. Watu wengi nikiwapo mimi walikuwa wana doubt sana kipaji cha Nandy toka awali.. na kama kipindi kile watu walikuwa wakimsikia Nandy basi utawasikia wakisema hamna kitu huyo ameletwa kumfunika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…