Mkutano wa Pili wa Bunge la 13 unaendelea leo Januari 28, 2026 bungeni jijini Dodoma.
Miongoni mwa shughuli za leo ni Waziri Mkuu kuwasilisha Taarifa ya Matoleo ya Gazeti la Serikali pamoja na nyongeza zake yaliyochapishwa tangu mkutano wa Bunge uliopita.
Aidha, kutakuwa na kipindi cha maswali...
Bunge la 13, Mkutano wa Kwanza, Kikao cha Pili Novemba 12, 2025 likiendelea leo kwa shughuli kuu ya kiapo cha uaminifu na ahadi ya uzalendo kwa wabunge.
https://www.youtube.com/live/NTsrKOpcVLA?si=LfgAsIHRyXYqQUjQ
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.