Kitabu Cha Zero to Legacy: Safari ya Kijana wa Kiafrika.
Mwandishi: Robert Heriel
+255693322300
Oooh! Taikon andika vitabu! Ooh! Achana na stori za abunuasi sijui riwaya. Ndugu zangu, sisi wengine nusu ya maisha yetu tunaitumia kuandika na kusoma. Kwetu kuandika ni Hobby. Nikiacha Maneno...
Hamjambo!
Ukiwa na umri wa miaka 20-35 usipendelee kukaa sehemu moja, mkoa Mmoja au nchi Moja. Huo ndio umri wa kuzurura. Zunguka Tanzania nzima maeneo Muhimu. Ijue nchi yako.
Ukimaliza anza kujiandaa na routes za NHS ya nchi. Kama muda utakuwa umekuishia na majukumu yakaanza kubisha hodi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.