kifo cha ghafla

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kila mtu atakufa lakini omba Mungu angalau ufe kifo cha ghafla

    Kuna jamaa namjua ameugua wakampeleka hospitali wakagundua ini na figo zina shida. Ndugu wamehusisha tu nyumbani. Sio kwamba ni masikini kihivoo amerudishwa akiwa mzima anaongea amekaa tu wiki tatu mwili ukavimba na leo kafariki.😥 Kuleni kunyweni lakini pombe hasa bila kula ni hatari kwakweli.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufiwa na mpangaji mwenzako?

    Binafsi ni mara yangu ya kwanza kufiwa na mtu ninaeishi nae nyumba moja, inauma sana nikiona baadhi ya vitu vyake nahisi kama namuona yeye by the way ni juzi tu hapo tumeongea. Hakika nyuma yake mbele yetu.
  3. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Umewahi kujiuliza jinsi mwisho wako hapa Duniani utakavyokuwa? Umejipangaje kuupokea?

    Moja kati ya swali la msingi unalotakiwa kujiuliza ni kuhusu mwisho wako hapa Duniani. Unajua ni lini au ni namna gani utaondoka? Umejiandaaje? Maandalizi mazuri zaidi ni kurekebisha njia zako na kuishi kama Mungu anavyotaka bila kusahau jamii na sheria za nchi zinataka nini. Kuishi kama...
  4. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kifo kinaonekana kabla hakijatokea, hakuna kifo cha ghafla

    Kutokuwa na uwezo wa kuwa intuitive ndo watu husema MTU Fulani amekufa ghafla. Kama ilivyo dalili za wewe kuja duniani (kuzaliwa) ndivyo zilivyo dalili za kifo. Mtangazaji aliyefariki alitoa dalili zote kuwa her days are numbered. Na yule naodha wa jahazi wa mawingu the same alitoa dalili...
Back
Top Bottom