kibu

In the mythology of the Mabuiag people of the Torres Strait, Kibu is the mythical land of the dead, believed to exist over the horizon far to the west. The correct full term is Kibukuth Horizons End. The basic meaning of the word kibu is midpoint of an upright broad object, such as small of back, mid-slope of a hill, and horizon, which is the midpoint of the universe, between the bottom part which is the earth (apagœwa lower-ground, or arkath pit), and the top half, which is the sky (dapar). The reference to Kibu, the land of the markai (the spirits of people who have travelled to Kibu after death) is a specialised, religious use of the word. Traditional Torres Strait religion can be characterised as totemic and ancestor worship, and as such the markai are the ancestors, and are specially revered. The ancestors are with the augadh totem, and the augadh generates the buwai clan/moiety, and the markai ultimately has a direct relationship to the augadh, though not necessarily being seen as being the augadh.
In the traditional mythology, the world (arkath hole, apagoewa underfurrow/ditch/garden) is at the bottom of a sphere, with the sky (dapar) above and around it. The markai live in Kibu, the main gateway of which is in the west (Kibukuth Horizons End). However, the markai often come back to visit. The land of the markai actually surrounds the world, so markai can be seen passing from east to west as well as west to east, coming down from the sky, and sometimes even coming up from under the ground via Apangab Netherway, Underway, the mythical pathway under the earth used by markai and others, such as dhogai long-eared witch women, maidhalaig magic-men, and others to travel under the earth and the sea from place to place.
Before becoming markai, the spirit of the dead person is called mari. Mari are the spirits of the dead who have not yet passed to the other side. The passage to the other side is made on the sand banks just west of Boigu, in north-west Torres Strait. At Boigu, the mari either leave a sign or otherwise talk to the mariumulaimoebaig spirit talker, to let people know how he or she died, and if he or she was murdered (and if so, who killed them). This is done where the cemetery is at Boigu, just west of the village.
In the passage over to the other side, at the sandbanks west of Boigu, the mari, which is black (kubikub) just as in life, becomes white (gamulnga) (this is a belief common to many Pacific and Australian peoples). Therefore, when Asians and Europeans visited Torres Strait, they were at first believed to be markai returning. In the modern language, markai is still often used to refer to Europeans, though no longer to Asians. However, this is considered to be impolite, and the correct term is either Yurupau Moebaig European or Gamulmoebaig (Light) Coloured Person. One favourite means of transport of the markai is the markaigub spirit wind, that is to say, waterspouts, which appear in the North-West Monsoon season, the favorite time for the markai to come to Torres Strait. As this was the season the Makkasarese and similar Indonesian fishermen came to Northern Australia, they were associated with the markai.

View More On Wikipedia.org
  1. Uonapo Mpanzu, Ahoua na Kibu kwenye mstari wa 3 wa Simba tafuta tu Tangawizi ulegeze misuli ya kichwa

    Mstari wa tatu wa Simba SC unapoangaliwa, mara nyingi unapokea macho na vishawishi kutoka mashabiki na wachezaji wenza. Hapa ndipo tunapokutana na wachezaji watatu wa kipekee: MPANZU, AHOUA na KIBU. Kila mmoja ana sifa zake, lakini pia udhaifu wa kipekee unaochangia mitihani ya kichwa kwa...
  2. D

    Kibu Denis Kate wa na Simba

    I will be short that's the breaking news, kibu mkandaji Katemwa na simba, Reasons : nidhamu pia kukataa kuja chan taifa stars pia. over
  3. Ahmed Ally: Kibu Denis, Che Malone na Edwin Balua wapo Sokoni

    Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kuna uwezekano wa klabu kuwauza nyota wake watatu, Kibu Denis, Che Malone na Edwin Balua. "Mambo yasipoenda sawasawa watarudi kuja kuitumikia mikataba yao," ameomgeza.
  4. M

    Hivi Selemani Mwalimu ni bora kuliko Kibu D na Feisal Salum!!

    Inakuaje yeye acheze kwenye timu yenye mpunga mrefu na ambayo ni rahisi kuonekana zaidi kwenye soko , halafu eti Feisal Salum na Kibu Denis wabaki kwenye ligi hii iliyojaa ubabaishaji. Kwa mtazamo wangu ninaona Feisal Salum na Kibu Denis ni wachezaji wakubwa zaidi ya Selemani Mwalimu. Hivi...
  5. Natabiri, Simba atapata Goli la ugenini kule Morocco na litafungwa kwa njia ya kichwa (Kibu D/Mukwala)

    Kwanini??, sina taaluma ya coaching ila kwa akili ya kawaida ya kimpira kama umefanikiwa kurejea mechi mbalimbali za hawa RS BERKANE utakubaliana na mimi ni wabovu mno kwenye SET PIECES/free kicks....ni matumaini yangu bench la ufundi wameliona hilo Tegemea kwenye mechi ya kesho JEAN CHARLES...
  6. Kibu ni mali

    Ni basi wachambuzi hawajampa spotlight kwa sababu wanazozijua wao ila huyu mshikaji ni mali
  7. M

    Kama Kweli Wewe ni Shabiki wa Simba, basi kata Tiketi yako mapema, wa kumzuia Elie Mpanzu pale Al Masry, Hii tumevuka

    Kwa namna mabeki wa Al MAsry wanavyocheza na kwa aina ya uchezaji wa Elia Mpanzu Kibisawala na pacha wake KIbbu Dennis, hakyamungu waarabu kesho kazi ipo. Na kama hakutakuwa na figisu kutoka kwa jamaa yetu pale uwanjani ambaye anajifanya hana uzalendo basi kesho ni wimbo tu kuanzia nje ya...
  8. Wakala wa Mpanzu acha kutumika, Kibu Dennis Simba imekulea acha hayo mambo

    Huyu wakala aache kusumbua eti kufikia ijumaa saa 10 installment yapili iwe imefanyika, kwanini ijumaa? Nani kamwambia kuwa hatalipwa? Aache uswahili. Na wewe rasta hutaki kwenda mazoezini kisa bonus uchwara, wanaokwenda wao hawana akili au tulikosea kukudhamini uraia? Hebu ukue basi.
  9. Wakili Madeleka ukipeleka mahakamani suala la uraia wa wachezaji SBS Usisahau Kibu wa Simba

    Wakili Madeleka ametangaza Nia yake kumpeleka pingamiza mahakama ya uraia wa wachezaji 4 wa Singida Black Stars ambao walipewa uraia wa Kimagumashi Nakukumbusha Madeleka huu uhuni watangulizi wake ni Simba na hapa Singida waliiga Kibu anadai alikuwa nchini Toka zamani mwaka 1998, lakini Kibu...
  10. L

    Wanasimba Tuache kuwakatisha tamaa wachezaji wetu,tuwe na subira,mmemuona Kibu?

    Leo hii KIBU D kawa mchezaji Bora kabisa katika Klabu yetu.kawa muokozi,mleta faraja,mkombozi na mfunga magoli muhimu. Lakini Kibu huyuhuyu miaka miwili iliyopita hakuna tusi aliacha kutukanwa. Kibu alilaumiwa na analaumiwa kwa kufunga goli moja TU msimu mzima na kutofungq kabisa katika...
  11. M

    Kibu Dennis amebadilika sana, hawezi kuendelea kucheza Simba msimu ujao

    Simba sasa hiv inabebwa sana na Kibu Dennis, huyu mwanaume amefika hapa kwa sababu ya zomea zomea yetu mashabiki wa Simba kwake, alikuwa akifanya makosa mengi sana kiasi kwamba tulidhani hastahili kuchezea Simba, nayakumbuka sana maneno ya Mzee Magori alipomzungumzia mchezaji huyo wakati...
  12. Kibu Denis arejea na kusafiri na Kikosi cha Simba SC kuwafuata Singida Black Stars

    Kibu Denis ni miongoni mwa wachezaji walioungana na kikosi cha timu yao jioni hii kuelekea Singida kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Black Stars. Kibu alikosa michezo miwili ya awali dhidi ya Kagera Sugar na JKT Tanzania kufuatia safari ya kushughulikia matatizo ya...
  13. Siku ilikuwa nzuri mpaka Kibu alipokuja iharibu

    Ilikuwa inaelekea mwisho mzuri. Huyu dogo Kibu Denis akaja iharibu mwishoni kabisa. Simba kutoa draw ingenifanya nifurahie sababu wote sisi tungekuwa hakuna wa kumcheka mwenzie. Lakini. Dk za jioni Kibu Denis anakuja kuipatia simba bao la ushindi. Sikupenda na sikufurahishwa. Ila nikubali...
  14. K

    Kibu na Ukandaji Kimataifa

    Kibu hajaimbwa sana kwenye ligi ya NBC..! Wachambuzi hawamuoni ama wanajifanya hawamuoni. ' Role ' anayoivaa kwenye Mechi Muhimu za Kimaamuzi za Kimataifa ndizo zinazomfanya awe 'distinct'..! Rejea Mechi Ya Al Ahly Tripoli alivyoilainisha Mechi kwa Bao lake Maridadi La Tick taka .! Isingekuwa...
  15. Kibu Denis afunguka baada ya kuibeba klabu yake ya Simba mechi na CS Sfaxien

    Kibu Denis amefunguka baada ya kuibeba klabu yake ya Simba kwa kufunga magoli kwenye mechi na CS Sfaxien
  16. Kibu Denis aibuka shujaa kwa Mkapa, CS Sfaxien wapagawa na kumpiga Refa dakika za jioni

  17. K

    KIBU DENIS a.k.a KASONGO " NGILI" iwekwe namba yake hapa tumpe pesa

    Kibu ameheshisha taifa , tumpongeze
  18. Hatimaye Kibu Denis amaliza msimu wake mapema kabisa

    Baada ya kiwango kizuri alichoonesha siku ya leo akiisaidia timu yake kupata goli la kusawazisha akifunga yeye mwenyewe na mechi kumalizika kwa jumla ya magoli matatu kwa moja. Sasa ndio Kibu Denis amemaliza msimu. Hii inatokana na kuwa na kawaida ya kufunga goli moja kila msimu na kisha kuja...
  19. Kwa hili la Kibu Denis viongozi wa simba mtaendelea kupandwa vichwani na wachezaji

    Viongozi wa Simba wanaendelea kufanya makosa yale yale Kila mara na awabadiliki! Kibu Denis kwa kitendo alichokifanya alistahili adhabu ya maana na asingeruhusiwa kujiunga na wenzake kwenye mazoezi, angetumikia kwanza adhabu yake ili liwe fundisho kwa wengine, lakini Cha ajabu kibu anaonekana...
  20. Kwa kumuacha huku Onana hapa sasa tumeenda sawa na Kunifurahisha, ila naomba Kibu Denis apewe Adhabu Kali au aombe Radhi leo kwa Mkapa

    Ujio wa kipa mpya kutoka Guinea, Moussa Camara 'Spider' umemfanya winga wa Simba, Willy Onana kung'oka Msimbazi baada ya taarifa kuvuja kuwa yeye ndiye anayempisha kipa huyo aliyetua kuziba nafasi ya Ayoub Lakred aliyeumia kambini Misri. Taarifa ambazo Mwananchi tangu awali ilishazidokeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…