kibaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Responded Malalamiko ya matukio ya uhalifu Kisarawe, DC Petro Magoti asema “Kila Mtu alinde mwanaye ambaye ni kibaka, asije kulaumu”

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani, Petro Magoti ametoa kauli kadhaa kuhusu matukio ya uhalifu kama yalivyoripotiwa na Wananchi mbalimbali kupitia JamiiForums.com akisema kuwa “Mzee wa Show Show nipo hapa, nimelichukua na kila Mtu alinde Mwanaye ambaye ni Kibaka, asije kulaumu kuanzia sasa”...
  2. Yuko wapi yule kibaka aliyetumwa na mayahudi kufanya kazi iliyowashinda?

    Kijana huyo alijulikana kama Alshababa.Alipewa kazi ya kupambana na Hamas na yeye akapewa siku 14 kujisalimisha kujibu kosa la kukubali kuwasaliti wapalestina. Baada ya hapo akasema yeye anataka kuwaunganisha watu wa Gaza waachane na Hamas.Alipewa kila msaada na waliomtuma, Kwa kumbukumbu zangu...
  3. Huyu kibaka hatonisahau kwa hii adhabu niliyompa

    Nilikua usingizini ghafla nikashtuka nikawa nasikia kama mtu anastruggle kuvunja mlango.basi mimi sikutaka shida za kupiga makelele,nikampimia nikajua yuko mmoja,nikasema huyu nammudu,nikachukua sime yangu nikachukua na dawa hii ya kuua wadudu inaitwa Rungu then nikabana nyuma ya mlango. Jamaa...
  4. Hakuna chama cha siasa makini cha upinzani nchini kinaweza kuthubu kukubali wito kuungana na chama tapeli na kibaka wa demokrasia

    Yaani anataka vyama vya upinzani kuungana ili kuomba pesa nyingi zaid kwa wananchi wanaoitwa maskini? Yaani vyama vya siasa vya upinzani viache malengo yao wafuate ulaghai wa huyo mpiga makelele mwenye chuki na uhasama na viongozi na baadhi ya wanachama wa chama chake mwenyewe, inawezekana...
  5. W

    PreGE2025 Wassira: CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka'

    Akiwa anazungumza kwenye mkutano huko Geita Makamu mwenyekiti CCM, Stephen Wassira amesema kuwa CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka' kuhusu kauli ya 'No reform No election' "Walikuwa wanajisemea ooh no reform no election, ala! sisi ni chama kikubwa kuliko vyama vyote vya siasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…