kibaha kwa mfipa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Tatizo la Ukosefu wa Maji Kibaha kwa Mfipa; Mtaa wa Simbani

    Tatizo la maji kwa sisi wakazi wa Kibaha – Mfipa, mtaa wa Simbani limekuwa kubwa sana. Maji yanatoka mara moja au mbili tu kwa wiki tena usiku wa manane wakati tumelala , na wakati mwingine hayatoki kabisa. Hii inaleta usumbufu mkubwa kwa wananchi. Maji ni hitaji la msingi kwa maisha ya kila...
  2. uberimae fidei

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha kwa Mfipa

    Kiwanja kina ukubwa squire meter 400. Kipo Kibaha kwa Mfipa Milioni tatu na nusu. Km 2 kutoka Morogoro road
  3. G

    Kiwanja Kinauzwa Kibaha kwa Mfipa million 3.2

    Kiwanja kinauzwa Kibaha kwa Mfipa(upande wa chuo) Ukubwa ni mita 20×20(sqm 400) Bei million 3.2 Hicho pembeni ya hiyo nyumba Kilomita 2.5 toka stendi Huduma zote zipo Umeme na maji ni kuvuta tu Kimebaki kimoja tu 0744757738 0784376888
  4. G

    Boma Linauzwa Kibaha kwa Mfipa million 15.3

    Boma linauzwa Kibaha kwa Mfipa Vyumba vitatu(kimoja masta) Seble Dinning Jiko&stoo Choo public Shimo la choo bado kufunika tu Nyumba imejengwa kisasa sana Eneo ni 20×20 Bei million 15.3 tajiri 0744757738 0784376888
  5. G

    VIWANJA/NYUMBA vinauzwa Kibaha kwa Mfipa

    Habari. Nina viwanja vinavyouzwa Kibaha kwa Mfipa jirani na chuo cha Mwalim Nyerere. Pia zipo nyumba zinazouzwa hapo hapo Kibaha kwa Mfipa. Unaweza wasiliana nami
  6. BigTall

    DOKEZO Kibaha kwa Mfipa kuna vibaka wanaopora na kujeruhi watu, Vyombo vya Ulinzi vikomeshe hali hii

    Huku kwetu maeneo ya Kibaha hasa Kibaha Kwa Mfipa kuna matukio ambayo ni hatari sana kwa usalama, kwani kuna vibaka wanatusumbua na wanafanya matukio yao majira ya Saa 11 alfajiri wakiwalenga wale watu wanaodamka asubuhi mapema kwenye kwenye majukumu yao. Vibaka hao wanakaba na kuwapora kwa...
  7. Mafyangula

    Kibaha: Waiba gari, kichanga na kuwatumbukiza wazazi kwenye shimo la choo

    Wizi mwingine sasa ni kama wametumwa na waganga wa kienyeji! Sasa huyo mtoto wamempeleka wapi kama si uchawi wote huo. =================== Watu ambao hawajafahamika wamevamia nyumbani kwa mkazi wa Kibaha kwa Mfipa Mkoa wa Pwani, Melkisedeck Sostenes na kupora gari, pesa na vitu mbalimbali kisha...
  8. A

    KERO Serikali isikie kilio chetu, kuna Watu Watatu wanatishia kubomoa nyumba zetu zaidi ya 340 Kibaha kwa Mfipa

    Mimi ni Mkazi wa Kibaha kwa Mfipa, Kata ya Viziwa Ziwa, Kitongoji cha Sagale Kabimbini (Sauti ya Umma) Mkoani Pwani. Ninajitokeza kuandika malalamiko kwa niaba ya Wananchi wenzangu zaidi ya 340 tunaoishi katika eneo hilo nililolitaja juu. Tunaamini kupitia JamiiForums ujumbe huu utafika katika...
  9. C

    Nauza kiwanja kibaha kwa Mfipa mil. 1.5

    NIMEKWAMA NAUZA ENEO LANGU KIBAHA KWA MFIPA. LIKO SEHEMU NZURI HUDUMA MUHIMU ZIPO. NGUZO MBILI ZA UMEME MPAKA SAITI. MCHANGA UKO HAPO HAPO TOFARI MAPAKA SITE TSH. 750 MAJI YAPO JIRANI TUPO KWENYE MCHAKATO WA KUYAINGIZA KUTOKA MAIN ROAD KM. 1.5 Square mita 300 Bado sijapata mteja sahihi. NATAKA...
  10. N

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa bei chee Kibaha kwa Mfipa upande wa chuo

    Habari Nauza kiwanja Kibaha kwa mfipa chenye ukubwa wa miguu 20 kw 19 Bei ni Tshs 3,500,000 maongezi kidogo yapo Kiwanja ni changu mwenye, kipo sehemu nzuri na huo mtaa maji, umeme na huduma zote za kijamii zipo Njoo nikuuzie umiliki kiwanja leo hii mana kadri siku zinavyokwenda ardhi...
  11. N

    Plot4Sale Nauza kiwanja Kibaha kwa Mfipa

    Habari Nauza kiwanja changu ambacho unaweza jenga nyumba ya makazi chenye ukubwa wa miguu 20 kwa 19 maeneo ya Kibaha kwa Mfipa. Tshs 5,000,000. Kutoka Kwa Mfipa stand hadi kwenye Kiwanja kwa pikipiki ni mwendo wa dakika 7-10 na kwa miguu ni mwendo wa dakika 20-25, kipo upande wa kushoto ukiwa...
  12. T

    House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha kwa Mfipa

    Ni nyumba yenye vyumba vitatu, viwili vikiwa ni master pamoja na sebule na dining room. Eneo Lina ukubwa wa MITA 70 kwa 21, kuna eneo la shamba kama linavyoonekana kwenye picha. Bei yake ni nafuu kabisa ya shilingi za kitanzania milioni sitini na Saba tu(67,000,000) lakini pia maongezi yapo...
Back
Top Bottom