kesi za kiraia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    Baada ya kesi kuwa ngumu, kampuni za Patrice Motsepe zimeanza kuomba "kinga" kutoka Afrika Kusini dhidi ya mahakama za Tanzania

    Bilionea Patrice Motsepe na baadhi ya kampuni zake wanatuhumiwa kujaribu kutumia mahakama za Afrika Kusini kukwepa uamuzi wa kesi unaotarajiwa kutolewa nchini Tanzania kuhusu mgogoro wa uchimbaji madini. Mgogoro huo unahusisha kampuni ya Tanzania ya Pula Graphite. Kampuni ya Pula imedai kuwa...
  2. Waufukweni

    Mahakama ya kijeshi Uganda imepigwa marufuku kusikiliza kesi za kiraia

    Mahakama ya juu nchini Uganda imeamuru kuwa kesi zote zinazowahusu raia ambazo zilikuwa zikisikilizwa katika mahakama za kijeshi zisitishwe mara moja na kuhamishiwa katika mahakama za kawaida. Uamuzi huo umetolewa na jopo la majaji saba, likiongozwa na Jaji Mkuu Alfonse Owing Dollo, ambao...
Back
Top Bottom