kesi ya uhaini ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tundu Lissu: No Reforms, No Election ni kauli ya Freeman Mbowe

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Antipas Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini ambapo leo Agosti 24, 2026 amesimama Mahakamani kuendelea kujitetea. Tundu Lissu ameiambia Mahakama kwa Kauli mbiu ya NO REFORMS, NO ELECTION siyo yake bali ni ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama...
  2. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sikumuomba Samia nirudi nchini, Yeye ndiye aliyenitafuta wakati huo Mbowe yuko Gerezani

    Tundu Lissu amesema hakuwahi kuomba kurejea nchini, bali Rais Samia Suluhu Hassan ndiye aliyemtafuta mwaka 2022, wakati huo Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, akiwa gerezani. Lissu amesema baada ya kupata ujumbe huo alishauriana na viongozi wenzake kabla ya kukutana na Rais Samia nchini...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu aendelea kujitetea - Agosti 24, 2026

    Shauri la uhaini namba 19605/2025 dhidi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, kuendelea leo Agosti 24, 2026 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar Es Salaam, ikiwa katika hatua ya uwasilishaji wa ushahidi wa mshtakiwa mbele ya jopo la Majaji...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 THRDC: Tunaishauri CHADEMA na Tundu Lissu kutafuta suluhu kwa njia ya mazungumzo

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) umeishauri CHADEMA kutafuta suluhu ya kudumu ya changamoto zao ikiwemo shauri la mwenyekiti wake, Tundu Lissu, kwa njia ya mazungumzo yenye maslahi mapana kwa umma. Aidha, THRDC imewashauri wanasiasa wote kwenda kwenye meza ya mazungumzo kwa ajili...
  5. JamiiForums Tanzania THRDC: Mchakato wa haki ulianza kuvurugwa tangu Tundu Lissu alipokamatwa

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza kubaini kasoro na changamoto mbalimbali za kisheria zilizojitokeza wakati wa kukamatwa, kufikishwa mahakamani na kuwekwa mahabusu kwa kiongozi wa chama cha upinzani, Tundu Lissu. Akiwasilisha taarifa ya ufuatiliaji wa shauri...
  6. JamiiForums Tanzania Lissu kuachiwa Agosti 21?

    LISSU KUACHIWA AGOSTI 21? MAJAJI KUAMUWA KAMA ANA KESI YA KUJIBU AU LA SIKU YA IJUMAA Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameieleza Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Agosti 17, 2026 kuwa hana kesi ya kujibu katika shauri la uhaini linalomkabili huku akiiomba mahakama kutamka...
  7. JamiiForums Tanzania Heche: Mbowe aulizwe mwenyewe kwanini haendi mahakamani

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema tayari amekutana na aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, tangu uchaguzi ulipomalizika na kufanya naye mazungumzo marefu nyumbani kwake. Hata hivyo, Heche amesema hawezi kujibu kwa niaba ya Mbowe kuhusu sababu za kutofika...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu, mawakili wa serikali wabadili gia angani, wafunga ushahidi tofauti na ahadi yao ya kuileta mashahidi waliokuwa wamebaki

    Ushahidi wa upande wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umefungwa rasmi leo Agosti 17, 2026, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo Dar es Salaam. Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, ameiambia mahakama kuwa baada ya kupitia ushahidi...
  9. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Shahidi wa 18 akwamisha kesi yaahirishwa hadi Agosti 17, 2026

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imeahirishwa hadi Jumatatu, Agosti 17, 2026, baada ya upande wa Jamhuri kuomba muda zaidi kutokana na changamoto za kiafya alizopata shahidi wa 18 aliyepaswa kuanza kutoa ushahidi leo Ijumaa. Jana, shahidi wa 17 wa upande wa...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 John Heche: Kama nanufaika na Lissu kuwa gerezani, wamwachie ili nikose hayo manufaa

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche amesema kuwa iwapo ananufaika kisiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kuwa gerezani, basi mamlaka zinazomshikilia zimwachie ili manufaa hayo yaondoke kwake. Heche amesema kuwa yeye si anayeshikilia funguo za gereza, si aliyefungua kesi dhidi...
  11. JamiiForums Tanzania Lissu: Sikuwaambia watu wachome na kuchana kura

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amefikishwa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo, Agosti 10, 2026, kwa ajili ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi ya uhaini inayomkabili. Kesi hiyo imeanza tena baada ya kusimama kwa takribani miezi mitano tangu...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: Hakuna mazungumzo yatakayofanyika bila Mwenyekiti kuwa Nje

    Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametoa msimamo wa chama hicho akisema hakutakuwa na mazungumzo yoyote na Serikali iwapo Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, atakapoachiwa huru na vikao halali vya Chama kuketi na kutoa uamuzi kuhusu hatua zinazofuata. Heche ametoa msimamo huo Julai...
  13. JamiiForums Tanzania PICHA: Lissu apelekewa Mihogo mikavu Mahakamani kama chakula cha mchana

    Tundu Lissu amepelekewa mihogo mikavu Mahakamani kama chakula cha mchana wakati wa kuendelea kusikilizwa kwa shauri linalohusu vikwazo vya kumwona katika Gereza la Ukonga. Shauri hilo limeendelea leo, Julai 22, 2026, katika Mahakama Kuu, Masjala ya Dar es Salaam. Fuatilia mwenendo wa Kesi: Kesi...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira: Kila siku Lissu anaweka mapingamizi, ndio maana inachukua muda mrefu

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira amesema; "Mahakama inaendelea vizuri. Tena yeye Tundu Lissu, rafiki yangu, anaitumia mahakama kama shule ya sheria; yeye anajitetea mwenyewe. Kila siku anaweka mapingamizi, majaji wanaahirisha kwenda kutazama hicho alichokisema—ndio maana...
  15. JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Mahakama itende Haki kesi ya Lissu

    Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameitaka Mahakama ya Rufani Tanzania kuhakikisha inatenda haki kwa usawa katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu. Akizungumza na MwanaHALISI Digital Julai 16...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Benson Bana: Hamuwezi kuridhiana wakati Tundu Lissu yuko Gerezani, ana kesi ya kujibu, tungoje Mahakama itoe hukumu

    Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Dkt. Benson Alfred Bana, amesema mchakato wa maridhiano hauwezi kuanza au kufanikiwa ikiwa bado kuna kiongozi wa kisiasa anayekabiliwa na kesi mahakamani, huku akisisitiza kuwa pande zote lazima zijiridhishe kwanza kabla ya kukaa meza moja. Dkt. Bana...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mke wa Lissu kama anataka kumuona Mume wake aje Tanzania na siyo kujilalamisha kwa Wazungu huko wasioweza kumsaidia kitu

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kumpa Taarifa Mke wa Lissu kuwa kama anataka kumuona na kuonana na Lissu basi apande ndege na kuja Nchini ili aende gerezani kuonana naye na siyo kuongea ongea na kujilalamisha kwa wazungu kana kwamba amezuiwa kuja kumuona lissu Gerezani. Aache mara Moja...
  18. JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Kinachomponza Tundu Lissu ni Akili. Mmeamua kufungia Akili yake ndani ya Gereza

    Kada wa CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, hapaswi kulazimishwa kuomba msamaha ili aachiwe huru, akisisitiza kuwa hana kosa linalohitaji msamaha. Soma: Mchungaji Msigwa: Niliishauri CCM imuachie Lissu haikunisikiliza Akizungumza na waandishi wa habari...
  19. JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Niliishauri CCM imuachie Lissu haikunisikiliza

    Kada wa CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, ametoa wito wa kuachiwa huru kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akidai kuwa hana hatia na kwamba amekuwa akizuiliwa kutokana na misimamo na uwezo wake wa kujenga hoja. Akizungumza na waandishi wa habari, Julai 14, 2026, Msigwa amesema Lissu amekaa...
  20. JamiiForums Tanzania Selasini: Watanzania waseme watakavyo, lakini namsihi Rais Samia asimwachie Lissu kwa shinikizo la nje

    Kada wa CHADEMA, Joseph Selasini, amemshauri Rais Samia kutafuta suluhu ya kisiasa katika suala linalomhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisisitiza kuwa hatua yoyote ya kumaliza sakata hilo isifanyike kutokana na shinikizo la jumuiya za kimataifa bali kwa maslahi ya taifa. Selasini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…