Leo Septemba 29, 2025, Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Singida imemuachia huru Askofu Maximilian Machumu Kadutu (Mwanamapinduzi), Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Itilima, Mkoa wa Simiyu, na Naibu Katibu Mkuu wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania (GCTC) Maarufu kama Kanisa la Ufufuo na Uzima...
Kwa jinsi ambavyo nimemfuatilia Ndugu Polepole na kwa jinsi mambo ya kiCCM yanavyoendeshwa ni dhahiri siku wakimkamata ana kesi nzito ya Uchochezi na akikaa vibaya wanambandika Uhaini akapumzike Segerea hadi 2030.
Polepole ana option moja tu kupambana hadi muujiza anaouamini utokee otherwise...
Singida. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu Askofu Maximilian Machumu Kadutu maarufu Mwanamapinduzi amekutwa na kesi ya kujibu katika kesi ya uchochezi inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Singida mkoani Singida.
Hatua hiyo...
Ushahidi katika shauri la kesi ya uchochezi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya ITILIMA mkoani SIMIYU Askofu Machumu Kadutu maarufu kama MWANAMAPINDUZI uliopangwa kusikilizwa kwa siku tatu mfululizo kutoka Agosti 5 mpaka agosti 7 umefungwa siku ya...
Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kesi yake dhidi ya Jamhuri.
Lissu amefungua kesi hiyo namba 14496/2025 akiomba marejeo ya mahakama kuhusu uamuzi uliotolewa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu katika kesi yake ya uchochezi ambayo...
Friends and our enemies,
Kauli za Gwajima ziko wazi,alichokitaka kiko wazi na lengo lake lilikuwa wazi nalo ni kuugombanisha Umma na serikali hususani mamlaka za juu za nchi hii.
Hapa namnukuu...
"HUENDA HAWA WAKUU WA VYOMBO VYA USALAMA NI WAZALENDO,SASA WANAPOSIMAMIA UZALENDO WANAISHIA...
Naangalia hapa Jamhuri wamepeleka maombi Mahakamani kuomba shauri la Lissu la uchochezi lisikilizwe kwa usiri yaaani Mashahidi ya Nyaraka visionekane kwa Wananchi.
Kama una akili vizuri unaweza fikiri kama kesi ya Uchochezi tu wanayomshtaki mtu kuongea maneno ya uchochezi ambayo yalitangazwa...
Jana pale Kisutu iliunguruma kesi ya uchochezi namba 11805/2024 Jamhuri dhidi ya Malisa na Boniyai. Jamhuri iliwakilishwa na Mawakili Clemence Kato na Cathbert Mbilinyi. Upande wa utetezi uliwakilishwa na Mawakili Peter Kibatala, Hakima Mwasipu, Dickson Matata, Michael Lugina, Josephat Msanga na...
Kesi ya uchochezi nambari 11805/2024 kati ya Jamhuri dhidi ya Meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob, na mtetezi wa haki za binadamu, Godlisten Malisa, imeendelea leo tarehe 17 Machi 2025 katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, chini ya Hakimu Mwandamizi Ushindi Swalo.
Upande wa Jamhuri...
Wakili wa mshtakiwa Askofu Machumu Maximilian Kadutu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Jijini Dar es Salaam, Tundu Antipas Lissu ameiomba Mahakama itupilie mbali shauri la Kesi ya Uchochezi dhidi ya Askofu huyo kwa madai kuwa halina mashiko.
Kwenye shauri hilo la jinai, Namba 19525, Mwaka 2024...
Mfanyabiashara na mwanasiasa Boniface Jacob maarufu Boni Yai na mwanaharakati Godlisten Malisa na baadhi ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo wakiwa katika viwanja vya mahakama ya hakimu mkazi Kisutu leo Jumanne Julai 30, 2024 jijini Dar es Salaam.
Boniface mkazi wa Mbezi Msakuzi Dar...
Kesi namba 11805/2024 inayomkabili aliyekuwa Meya wa Ubungo Boniface Jacob na Godlisten Malisa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Saalam limeahirishwa hadi tarehe 04 Julai 2024 ambapo usikilizwaji wa awali wa shauri hilo utaanza.
Baada ya kesi hiyo kuahirishwa, Jeshi la...
Hii ndio Habari ya sasa ninayoitoa kwenu, kama nilivyonukuu taarifa iliyopita ya Mahakama ya Kisutu kwamba kesi ya Wachochezi hawa itaendelea tena 06/06/2024
Kaa tayari kwa minyukano ya Kisheria kutoka kwa Wakili Msomi Peter Kibatala na Team yake.
PIA SOMA
- Boniface Jacob na Godlisten Malissa...
Mahakamani ni sehemu ya ajabu sana kwa wale wenzetu tusiofikiria sheria wala maamuzi. Hili swala lilo lalamikiwa na jeshi la polisi kupitia afande muriro linawezaa kuzua mjadala mwengine ambao ukageuka kibao kwao kuhusu utata wa vifo vinavyo tokea kupitia wao au kuzuka jambo la kupotea kwa watu...
Wamefunguliwa kesi ya Uchochezi na kuzua Taharuki
Kesi hiyo imefunguliwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu, Dar es Salaam.
Bado haijajulikana kama watapata dhamana au watapelekwa Segerea
Jopo la Mawakili wao likiongozwa na Peter Kibatala tayari lishafika Mahakamani hapo kusimamia...
Chanzo: East Africa Television (EATV)
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru Mhariri Mtendaji wa kampuni ya New Habari, Absalom Kibanda, Meneja Uendelezaji Biashara wa Kampuni ya Mwananchi Communication Limited Theophil Makunga na mwandishi Samson Mwigamba.
Akisoma hukumu yao ya kesi...
Absalom Kibanda
The Kisutu Resident Magistrates Court yesterday adjourned the hearing of a sedition case facing Mwananchi Communications Limited (MCL) Group Managing Editor, Theophil Makunga, former Tanzania Daima Managing Editor, Absalom Kibanda and columnist, Samson Mwigamba to April 29...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.