Samahani wakuu naomba kueleweshwa nilifunguliwa kesi Kuhusu mirathi, kesi ya madai kuanzia mahakama ya mwanzo nikashinda, mdai akakata rufaa mahakama ya wilaya Napo akashindwa, akakata rufaa mahakama kuu, pia akashindwa.
Katika hukumu mahakama zote iliamriwa nilipwe gharama, lakini sikuweza...