Kimsingi, katika kesi ya 'uhaini' inayomkabili Tundu Lissu ni kama imeilemea serikali. Je, mahakama itaendelea kuwa nyumba ndogo ya wauaji au itajikomboa na kutenda haki na haki ikaonekana inatendeka?
Je, kama Tundu Lissu atashinda, itakuwaje hasa tukizingatia kuwa, kwa sasa, taifa letu...