kero ya umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Kero ya umeme Halmashauri ya Itigi Wilaya ya Manyoni

    Kuna tabia ya kukata umeme ovyo kila mara kulikoni sehemu zingine tunaomba tanesco wachukue hatua maana kukatika ovyo kwa umeme imekua kero ya muda mrefu
  2. A

    KERO Kigamboni kuna kero ya umeme kukatika mara kwa mara, tunaunguza vitu kila mara

    Kero yangu ni TANESCO Kigamboni wanatutesa sana, hakuna siku umeme haukatiki na sio mara moja umeme unakatika, kuna muda mpaka mara 10 kwa siku. Vifaa vyetu vinaungua na hakuna anayelipa, tunaomba sana ujumbe huu uwafikie TANESCO wajue wanatutesa. Ujumbe huu uwafikie Waziri Mkuu, Waziri wa...
  3. A

    KERO Shirika la Umeme Zanzibar mnatukwaza kukata umeme mara kwa mara maeneo ya Kwahani na mnajua kuna Kituo cha Afya, Ziwani Police Health Center

    Mimi ni Mkazi wa Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini. Kero yangu ni kwa Shirika la umeme Zanzibar (ZECO). Wamekuwa na muendelezo wa kukata umeme mara kwa mara maeneo ya Kwahani, ikizingatiwa sehemu hiyo kuna Kituo cha Afya, Ziwani Police Health Center kinachotoa Huduma za...
  4. KERO Kero ya umeme Kitongoji cha Kiharaka kata ya Mapinga, Bagamoyo

    Wananchi wa Kiharaka Mikocheni, Mapinga ambapo tatizo hilo ni kubwa sana, wanaitaka TANESCO kufanya marekebisho ikiwemo kuondoa watendaji wote waliopo sasa ili kuepukana na uzembe wa kukatikakatika kwa umeme katika kitongoji chao cha Kiharaka sambamba na shida ya kupata umeme mdogo(low Voltage)...
  5. A

    KERO Kero ya umeme kata ya Chihangu Newala Vijijini

    Mimi ni mkazi wa Newala vijijini tumekuwa tukipata changamoto kubwa ya mgao wa umeme huku mamlaka husika zikishindwa kutoa sababu za mgao, kuna nyakati umeme unaweza ukakata hata siku 3 huku ukipiga kuuliza changamoto wanakosa majibu hivo tunaomba wajirekebishe kwani wanakwamisha shughuli za...
  6. A

    KERO Kariakoo na kero ya umeme kukatika kila mara bila taarifa

    Kama mnavojua Kariakoo ni eneo la kibiashara kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki. Na wafanyabiashara wengi hutegemea eneo hili na pia ni chanzo cha mapato ya Nchi. Hii wiki inaenda ya pili mara nyingi umeme hamna tena unakatika Bila Taarifa na kama mnavojua kuna maduka ya Underground na ya...
  7. C

    KERO Umeme wilaya ya Newala Mtwara unakatika sana

    Umeme ni kero kubwa sana wilaya ya Newala kukaa siku mbili, tatu hata wiki ni kitu cha kawaida bila taarifa yeyote. Tanesco tunaomba sana mliangalie Hili watu wanaumia, biashara hazifanyiki na mbaya zaidi ni tatizo la kudumu
  8. K

    KERO Responded Wakazi wa Masasi tuna kero ya umeme kukatika mara kwa mara, tunapata hasara TANESCO shughulikieni hilo

    Mimi ni Mkazi wa Masasi, nilihamia huku miezi kadha iliyopita, moja ya changamoto ambayo niliikuta huku na wenyeji wanadai imekuwepo kwa muda sasa, ni suala la umeme kukatika mara kwa mara. Huku Masasi kwa kweli inafikia hatua unakasirika na mwisho unaanza kucheka, kuna wakati umeme unakatika...
  9. A

    KERO Tatizo la umeme kukatika limekithiri mkoa wa Mtwara

    Hivi karibuni tatizo la kukatika kwa umeme mkoa wa Mtwara limekuwa kubwa na kero kwa wananchi. Mkoa wenye gas asilia na makaa ya mawe lakini tatizo la umeme limekithiri. Najiuliza wakazi wa Mtwara wameongezeka kiasi kwamba Tanesco wanazidiwa au tatizo nini. Umeme unaweza kukatika zaid ya...
  10. J

    KERO Kero ya Maji na Umeme Kahama

    Mimi ni mkazi wa Kahama Mjini, na ningependa kuwasilisha malalamiko kuhusu sekta mbili: Kahama Urban Water Supply (KUWASA) na Tanesco Kahama. Huduma ya umeme imekuwa kero, kwani umekuwa ukikatika mara kwa mara bila taarifa maalum, hadi mara 5-9 kwa siku. Hali kadhalika, huduma ya maji pia...
  11. S

    Meneja TANESCO, Arumeru hakuna umeme tangu asubuhi

    Tangia saa 2 asubuhi leo huku Halmashauri ya wilaya ya Meru TANESCO wamekata umeme mpaka sahizi. Kwanini umeme ukatwe kwanza bila taarifa? Na mpaka sahizi? Kuna tatizo gani. Kwanini Huu utaratibu usio wa kistaarabu? Huyu meneja wa TANESCO wilaya ya ARUMERU afuatiliwe, kama vipi akae pembeni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…