Awali nilileta lalamiko la kutokuwepo huduma ya maji kwa muda mrefu bila sababu yoyote huku magari ya kuuza maji yakiwa yanaranda mitaani kuuzia watu maji kwa gharama kubwa.
Tazama hapa: KERO - Maji Malamba Mawili ni mgao mkali, baadhi ya Wakazi walio kwenye miinuko wana miezi hawapati maji...