Mataa ya Mwenge ni one of the busiest intersections hapa mjini. Hili ni miongoni mwa maeneo yanayofahamika sana kuwa chanzo cha foleni. Ni hasa kwa watu wanaoelekea maeneo ya Tangi Bovu, Tegeta, Bunju, Kunduchi n.k. Ni eneo ambalo miundombinu yake si ya kimajaribio, bali ni eneo la mkakati...
Manispaa ya kahama, ofisi ya vizazi na vifo kuna changamoto kubwa ya foleni, kwani unaweza kutumia siku mzima kupata huduma!
Nashauri mamlaka husika kuongeza watendaji, kwani kuna mtoa huduma mmoja tuu na idadi ya watu ni kubwa.
Anonymous
Thread
kerofolenikubwa
manispaa ya kahama
vizazi na vifo
vizazi vifo kahama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.