Sina shida na ulemavu je huyu bwana ni mlemavu wa macho? Au ana aibu au ni ana makengeza kama ya Hayati mtei? Mwambieni tunapambana kuliponya taifa yeye awakusanye wazee wanao taka kujua mahali upokelewa na nani kati ya mke au mwaume?🤣
Akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 27, 2025 Jijini Mwanza, Kenani Kihongosi Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ameeleza kuwa suala la uongozi wa nchi haizingatii Jinsia bali kwa Maarifa, kanuni, katiba na miongozo
" nchi...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 27, 2025 Mkoani Mwanza ameeleza namna Chama cha Mapinduzi kimefanikiwa kwa kufatiliwa na watu wengi Mtandaoni na umati mkubwa kuhudhuria...
Katibu wa NEC, itikadi, uenezi na mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi amesisitiza umuhimu wa amani Wilayani Busega Mkoani Simiyu pamoja na kujitenga kutumika kisiasa kwa ajenda za kuvuruga amani ya Tanzania hasa katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi Mkuu...
" Chama hiki kimejikita katika kusukuma ajenda za maendeleo, kwaiyo akitokea mtu akasema hakuna kilichofanyika unabaki unamuangalia" amesema Kihongosi
Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi akizungumza na waaandishi wa habari katika leo Oktoba...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Kenani Kihongosi amesema kuwa tangu kuanza kwa mikutano ya kampeni za Urais kupitia CCM kwa mgombea wake Samia Suluhu Hassan tayari zaidi ya wananchi milioni 45 wameshiriki kikamilifu kwa kufuatilia...
Katibu wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi akizungumza na waaandishi wa habari katika leo Oktoba 5, 2025 katika ukumbi wa White House CCM Makao Makuu Dodoma ameeeleza kuhusu Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) zinazoendelea ambapo Mgombea nafasi ya...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Kenani Laban Kihongosi atakuwa na Mkutano na waandishi wa Habari Leo katika ukumbi wa White House CCM Makao Makuu Dodoma kuanzia saa 10:30 Jioni
https://www.youtube.com/live/X01I9hqOryk?si=sqHbFxhy5Se9-ofP
Mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.