kazi yoyote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba KAZI yoyote

    Nina miaka 25 Elimu ni shahada ya maendeleo ya jamiii. Mahali ni Dar es salaam Naombeni KAZI yoyote ndugu zangu. Ya kutumia nguvu akili nk Ila isiwe kazi haramu hata kama ni haramu niambie niangalie risk zake kwanza. Ahsante sana
  2. Nipeni kazi yoyote nipo kahama 0715670870

    Nipeni kazi yoyote ya kufanya nipo kahama, Manzese 0715670870 Nitakufa na njaa.
  3. E

    Natafuta kazi Iringa

    Natafuta kazi yoyote halali nipo IRINGA,nina miaka 26. Mawasiliano yangu 0740189881
  4. G

    Natafta kazi yoyote

    Habari ndugu natafta kazi yoyote niko dodoma umri (25) kijana mawasiliano yangu 0777638200 Ntashukuru nikipata .niko tayar wakati wowote unaofaa
  5. Naomba kazi yoyote Mtwara

    Habari zenu wakuu, Nawasilisha maombi kwenu wakuu hali ni mbaya Kielimu nilichonacho bado hakinipi unafuu wa maisha, Naomba mwenye connection ya kazi yoyote mkoani Mtwara iwe kazi ya mikono iwe ya nilichosomea zote napokea, nina umri wa miaka 29 na elimu yangu ni DIPLOMA IN INFORMATION...
  6. Natafuta kazi yoyote Mbeya

    Natafuta kazi yoyote Mbeya kama kuuza duka, stationary na kazi zingine 0756704145 Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering)
  7. Natafuta kazi yoyote ya kufanya nipo wilaya ya kahama mjini

    Mimi ni kijana wa miaka 22 ,natokea wilayani kahama , natafuta kazi yoyote ile ya kufanya kwa anaye hitaji mfanyakazi au connection ya kazi mimi nipo tayari kufanya , namba zangu ni 0715308721
  8. A

    Ninatafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku.

    Habari zenu wanaJF nipo Dsm natafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku. Iwe saidia fundi, bandarini, kiwandani au kazi yoyote ya halali. Elimu yangu ni shule ya msingi. Napatikaa Mbezi makabe. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  9. Natafuta kazi yoyote nipo kahama

    Habari wana jf , mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nipo kahama mjini elimu yangu ni kidato cha nne , natafuta kazi yoyote ile ya kufanya . namba yangu ni 0715308721
  10. B

    KAZI YOYOTE YA IT ITANIFAA

    Wakuu, mnaendeleaje humu? Naamini Mungu anaendelea kuwapigania. Kuhusiana na mada tajwa hapo juu, natafuta kazi katika sekta ya IT. Nina ujuzi katika Linux Server Administration, Database Administration, Computer Networking, na misingi ya Usalama wa Mfumo (System Security Basics). Ikiwa kuna...
  11. Nimewahi kuishi mwaka mmoja bila kufanya kazi yoyote ila nilikuwa nakula vizuri , nalipa kodi , nasaidia ndugu na wazazi

    Katika MAISHA kuna mambo mengi Nilikaa mwaka mmoja bila Kazi ya kuamka Ahsubui Ila mishe mishe za udalali Mara yes Mara no Ila nilikuwa nakula Navaa Nalipa kodi Nasaidia ndugu na wazazi Pasipokufanya Kazi yoyote ya mshahara Kipindi hiki nilijifunza kuwa haitaji kufanya Kazi kwa bidii ili...
  12. Natafuta kazi yoyote halali nipo Mbeya

    Hello JF family, Nina umri wa miaka 26 (mwanamke)nina cheti cha kidato cha 4, pia nina mtoto mmoja. Naomba mnisaidie nipate kazi ili nijikimu na mwanangu 🥹 maisha magumu sana. Nina kipaji cha kupika na ninapenda sana kupika. TIA
  13. J

    Natafuta kazi yoyote halali

    Naitwa Jerald, nina miaka 26. Nipo Dar es salaam, natokea mkoa wa Mwanza. Natafuta kazi yoyote halali iwe ulinzi, dukani au usafi. Nina elimu ya kidato cha sita.
  14. Kwenye connection ya kazi ya delivery agent kwa kampuni za mwanza anishtue au kazi yoyote ndani ya Mwanza

    Wakuu habari ya jumapili Kwa heshima na tahadhima naomba kwenye connection ya kazi ya kufanya delivery ya mizigo kwa kampuni zilizopo Mwanza anishtue au kama kuna kazi yoyote halali mnipe jamani Hali mbaya kitaa Nina leseni ya udereva ninaweza kuendesha gari na pikipiki na nina ufahamu wa...
  15. wakuu nashida na kazi

    kijana wa miaka 22 pia nnalesen ya udereva class d nimeish form 4 ila nahitaji kazi yoyote kwa sasa ya kujikimu kwa sasa .... natanguliza shukrani zangu za dhati.
  16. K

    Msichana mjasiriamali na mhitimu wa Uhasibu. Natafuta kazi naomba mnisaidie

    Habari wakuu, Mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo 2024 ya Uhasibu na Biashara (Bachelor in Accounting ). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali wa kuuza vipodozi na nguo za kike hadi hivi juzi juzi nilipohitimu. Nipo hapa hapa Dar es Salaam...
  17. Natafuta kazi yoyote ya halali yenye kukidhi mahitaji

    Nichukue nafasi hii kuomba nafasi yoyote ya kazi Kwa mtu ambaye yupo tayari kunisaidia kwa hili namba zangu ni 0676917970 Cheti Cha form 4, 6 na Chuo kikuu ninavyo N:B Kazi yoyote Ile nipo tayari
  18. Mwenye connection ya kazi ya Storekeeper au kazi yoyote na popote anisaidie

    Habari wakuu! Nina ujuzi wa maswala ya store / Warehouse. Niliwahi kuwa stock controller kwenye deport Fulani ya kuuza vinywaji Kwa zaidi ya miaka mitatu. Nilikuwa na deal na operation za pale deport, pia mahesabu ya bidhaa zinazoingia na zinazotoka na kuangalia stock kama ipo kwenye uwiano...
  19. E

    Nisaidieni kazi yoyote ya halali. Mimi ni Mhitimu mpya wa Chuo

    Habari, Mimi ni recent graduate wa Bsc. Environmental Sciences and Management kutoka SUA. Naombeni mnishike mkono kwa yeyote mwenye kazi ya halali walau nipate chochote kitu. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  20. N

    Natafuta kazi yoyote halali

    Wasifu wangu; JINSIA; Me UMRI; 24-26 ELIMU; Bachelor of business administration MAKAZI; Dar- kigamboni Naombeni mwenye mchongo wa kazi yoyote halali anisaidie nikakomboe cheti changu chuoni kuna kiasi flani cha ada nadaiwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…