Kumekuwa na kauli za Viongozi wa Kiserekali na Taasisi zake ambazo zimekuwa ni za upande moja au upendeleo Kwa minajili ya kutishia au kuzuia raia kutumia Uhuru wao wa kidemokrasia.
Mojawapo wa hizo kauli za Viongozi wa kipolisi kutishia Vyama Vya upinzani na raia, Kwa kinachoitwa uvunjifu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Tume ya Uchunguzi ya masuala ya vurugu za uchaguzi haitachunguza tu matukio ya uvunjifu wa amani, bali pia kauli na matamshi yaliyotolewa na baadhi ya vyama vya upinzani kabla na wakati wa uchaguzi.
Amesema hatua hiyo...
Naomba Watanzania wenzangu, tufanye jambo muhimu. Viongozi wa CCM na wale wote wanaodhihaki vifo vya wenzetu hawapaswi kuendelea kuwa sehemu ya jamii yetu kwa namna ya kawaida. Tuwatengue kwa amani, bila chuki, lakini kwa msimamo thabiti. Tusionekane kushiriki katika shughuli zao wala kutoa...
Heshima sana wanajamvi.
Imekuwa kawaida na utaratibu kila mwanachama au kiongozi wa CHADEMA anayeondoka kupewa majina mabaya ana tamaa,mamluki,wamenunuliwa,team Mbowe na nk.
Viongozi na wanachama wa kawaida wanaondoka wengi wametoa sababu mbali mbali nyingine zina mashiko na nyingine hazina...
Kuna wakati lazima viongozi wetu wawe na uwezo wa kuona mbali kwamba wanapaswa kutokweka misimamo ambayo athari zake zitakuwa mbaya huko mbeleni.
In fact, kuwa na msimamo tofauti na matakwa ya wengi na ushauri wa watu wenye hekima ni kuwa na kiburi
Hili suala la kubadili kanuni za uchaguzi...
Mpasuko Mkubwa CHADEMA: Wagombea Wapinga Kauli za Viongozi Wakuu, Wapinga Mpango wa Kususia Uchaguzi
Katika kile kinachoweza kufasiriwa kama dalili za kuporomoka kwa umoja na mshikamano ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waraka mzito wa ushauri umetolewa na wagombea wa ubunge...
1. Kuleni NYASI, ndege ya RAIS lazima inunuliwe
2. MILLION 10 NI MBOGA YA NYANYA
3. Acheni wivu wà KIKE.
4. FOLENI Dar ni ishara ya maisha bora
5. Asiyeweza kulipa NAULI APIGE MBIZI
6. KIFO NI KIFO TU
7. KATIBA NI KIJITABU TU
8. WATU WAZURI HAWAFI
9. Nilisema wakati ule na narudia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.