Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, imemteua Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho kuanzia Agosti 23, 2025.
Uteuzi huo umetangazwa baada ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika jijini Dodoma, chini ya uongozi wa...
Familia ya Katibu Mwenezi wa CCM Mbeya Mjini, Philimon Mng'ong'o, imekumbwa na hofu baada ya watu wasiojulikana kuvamia nyumbani kwake usiku wa kuamkia Aprili 22, 2025 na kuchoma gari. Moto huo pia ulianza kushika sehemu za nyumba, lakini watu 11 waliokuwemo waliokolewa salama.
Mng'ong'o...
Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, amekiri kuwa rushwa bado ni tatizo ndani ya chama hicho, akisema inasababisha kuchaguliwa kwa viongozi wasio bora wanaowadharau wananchi.
Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo TV, Ramsey...
Balozi wa Mazingira na muhamasishaji Tanzania Michael Msechu ameanza ziara mkoa wa Dar es salaam katika kuelekea kwenye Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Zanzibar,
Msechu amekutana na Katibu Mwenezi Siasa na Itikadi Mkoa wa Dar Es salaam Binamu Binanga na kuendelea kuwaimiza Wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.