katiba huru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Kauli ya mama Samia ya kuheshimu Vitabu vya Dini kuliko Katiba ni kauli ya kitapeli

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kuna kauli moja nimeisikia kutoka kwa Rais wa Tanzania Samia kauli hii imenisikitisha sana maana ni ya kitapeli na haikufaa kabisa kutolewa na mtu kama yeye Samia anasema kama ni heshima basi tuheshimu vitabu ya dini lakini siyo kitabu...
  2. Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol aondolewa madarakani. Uchaguzi kufanyika baada ya siku 60

    Mahakama ya Katiba ya Korea Kusini imeidhinisha kwa kauli moja kuondolewa madarakani kwa Rais Yoon Suk Yeol baada ya kumkuta na hatia ya kukiuka katiba kwa kutangaza sheria ya kijeshi mnamo Desemba 3, 2024, hatua ambayo ilizua mtafaruku mkubwa wa kisiasa. Uamuzi huu unamaliza miezi ya mvutano...
  3. T

    Kutoka Kenya: Mchakato wa wenzetu kumng'oa Naibu Rais unaumbua ubovu wa katiba yetu

    Kwa kadri nilivyofuatilia Mchakato wa kumng'oa Naibu Rais wa Kenya nimejifunza kwamba tuna kazi kubwa sana ya kufanya ili kupata katiba inayolinda maslahi ya wananchi. Yaani hapa kwetu ukiwa wewe ni Mbunge Rais hata Diwani ukikosana na mwenyekiti wako wa chama akakufukuza uanachama basi...
  4. Baba : Anyigulile chukua hivi vitabu viwili vizito mno ,cha duniani (katiba ya Tanzania) na cha mbinguni

    Baba : Mwanangu muabudu Mwenyezi Mungu na uzitii mamlaka juu yako ,serikali ,mahakama na bunge. Anyigulile (Mimi) :Nimekusikia baba yangu kipenzi ,nitayaishi mawaidha yako. Baba : Mwanangu litii sana dola la nchi kwani katika ardhi (Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania) linapotawala ndiko...
  5. J

    SoC03 Misingi ya siasa safi

    Makala hii ni muhimu katika kuangazia mienendo mbalimbali ya nchi zinazofuata na kuongozwa na demokrasia na katiba guru Kati ya watawala na watawaliwa, pia makala hii inasisitiza upatikanaji wa demokrasia kupitia misingi iliyowekwa ya haki na usawa kwa wote, Uhuru wa vyombo vya habari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…