kataa wahuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Humphrey Polepole: Kataa Wahuni - Official Song 🎵

    Polepole alituachia wimbo huu kabla ya kunyakuliwa na kupelekwa pasipofahamika. Aliandika 👇👇👇 Nimelazimika kuingia studio na kuzalisha wimbo huu. Nina "udediketi" wimbo huu kwa mwana CCM mwenzangu aliyetumia vyombo vyote vya habari jana. Ujumbe huu uende kwake na kwa kundi lote haram la CCM...
  2. Humphrey Polepole: Leo Septemba 18, 2025 nitajibu barua ya wito wa Polisi, unganeni nami kupambana na wahuni

    Ndugu zangu leo 18 Septemba 2025 muda wowote kutoka sasa tunapanda hewani mjulishe na mwenzio. Niko na majibu ya waraka wa Jeshi la Polisi na mengine yahusianayo! NB: Naomba Jeshi la Polisi muungane nami wakati wowote kutoka sasa kazi ya kupambana na wahuni na genge la Mtandao ni yetu sote!
  3. Video:-Mwenyekiti wetu wa KATAA WAHUNI Akiserebuka uhakika

  4. Shule ya uongozi ya Hamphrey Polepole (Kataa Wahuni) inatufungua kwa mengi sana

    Tangu Polepole ameanza series yake kali kabisa ya kataa wahuni, kuna mengi sana nimejifunza na ninaendelea kujifunza. Hakika ni kama jambo la heri sana kwa bwana huyu kutokea na kuendeleza ile shule yake kipindi cha Magufuli. Ni kama vile roho ya Magufuli imemwingia na sasa imentuma kuzungumza...
  5. Mbona kama Polisi inamsemea Dogo Janja?

    Hawa polisi mbona kama wanamtetea Dogo janja kwanini wamsemee yeye tu na si kumskiliza na aliyejeruhiwa? Wanasema alivamiwa, alivamiwa kivipi mtu yupo kwenye gari lake? mbona wanajaribu kufukia vitu. Wanadhani hatujui chanzo cha DOgo janja kumpiga risasi huyo dogo? Alafu siku hizi kumbe...
  6. Polepole anazungumza usiku huu Rais Samia asigombee anatakiwa apumzike

    Ndugu Humphrey Polepole ameibuka usiku huu wa tarehe 24, agasti amefunguka wazi sababu za kwanini Rais Samia hatakiwi kugombea na kumtaka apumzike. Katika maelezo yake ameweka wazi namna ambavyo Rostam Azizi anazidi kujizolea utajiri mwingi kwa kutumia maliasili za nchi hasa migodi ambayo ya...
  7. GE2025 Polepole ni Mkweli. Mimi (Britanicca) Mwezi wa Kwanza 2021 nilisema hili

    Huyo mzee anayekuwa anapeleka bahasha nilimjua kwa jina si vema kutaja alitumwa na nani ! I Niliandika Twitter Pitia 👇🏾
  8. Hivi ndivyo Mgombea Urais wa CCM anavyopitishwa

    GT Kikwete na Samia waliogopa nini? Unampitisha Mgombea uraisi kwa kusema unadhani tumekubaliana unadhani like seriously?
  9. Ndugu Watanganyika wenzangu Kataa wahuni, hatutiki gizani, no reforms no election

    Wandugu, tuna mshukuru sana ndugu Slowslow kwa kutuonyesha yalioko ndani ya chama chakavu na kutuonyesha ni kwa jinsi gani mambo yale yenye tija kwa wananchi yanavyoendeshwa kihuni Kumbe ndani ya chama chakavu kila mtu yuko kwa maslahi yake na si kwaajili ya sisi waajiri wao Sasa basi inabidi...
  10. Humphrey Polepole: Tuwe makini na wahuni, wanaweza kuipiga copy serikali

    Msipokua Makini Kwenye Political econommy ya Nchi yetu hapa unaweza kujikuta kikatengezwa kikundi cha Watu ndio kinakula KODI ya Nchi hii, kikatengenezwa kikundi cha Watu ambacho ndio kina Bagaza watu wote na maelekezo yanatoka kwenye Kikundi. Kule Angola kikundi hicho kinaitwa FUTUNGO. Wahuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…