Mtandao wa simu wa Airtel wamenitakia maadhimisho mema ya siku ya Karume. Sio kuadhimisha bali ni kukumbukia. Tunaadhimisha jambo Zuri lililotokea bali jambo baya kama kifo ni kumbukizi maana alitutoka huku tukimuhitaji.
Wazungu husema Commomerate na sio celebrate.
Asanteni.