kanzu

A kanzu is a white or cream coloured robe worn by men in the African Great Lakes region. It is referred to as a tunic in English, and as the Thawb in Arab countries. The kanzu is an ankle or floor length garment. It serves as the national costume of Tanzania as well as the Comoros, where it is called/pronounced 'Kandu' as well as thawb. The robe is also worn in some coastal Muslim regions of Tanzania and Kenya. The men of Uganda consider it their most important dress. Kanzu is a Ganda word of Swahili origin, which means "robe" or "tunic". In Tanzania, the term is used interchangeably with kaftan.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wataalamu hii nayo ni kanzu ⁉️

    N.B Huyu ni nani huko dar?! Naona yupo main table na bosi kusaga
  2. JamiiForums Tanzania Uasili wa vazi la kanzu linalovaliwa na Waislamu wengi duniani

    Haya ni sehemu ya maelezo muhimu ya uasili wa uvaaji wa vazi la Kanzu. 👇
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo hawavai kanzu nyeupe saa ya kusali kama Yesu alivyofanya?

    Kwanini Wakristo hawavai kanzu nyeupe saa ya kusali kama Yesu alivyofanya? Yesu aliishi katika jamii ya Wayahudi iliyokuwa na mila na desturi za mavazi. Katika mazingira hayo, kuvaa mavazi meupe ya aina ya kanzu ilionekana kuwa ni ishara ya usafi, utakatifu, heshima na ibada. Hata hivyo...
  4. JamiiForums Tanzania Mnakamatia Yesu kwenye pasi ya umeme? Huu ndio ufashisti unaofichwa kwenye kanzu ya sheria!

    Ndugu zangu Watanzania, hatuwezi kukaa kimya wakati utawala unageuza dini kuwa kisingizio cha kuua demokrasia. Tumeona sasa, kwa macho yetu wenyewe, serikali ikiamka na kiburi kama cha shetani wa jangwani, inavamia makanisa, inakandamiza maaskofu, na inadhani ina mamlaka ya kuamuru nani aseme...
  5. JamiiForums Tanzania Leo Askari kanzu wengi wamefanya Ibada bila kusinzia

    Ni jambo jema watu kufanya ibada na kumkumbuka mungu wetu anayetupa pumzi na kila lililojema.
  6. M

    JamiiForums Tanzania kwa nini Story za Popo Bawa kaonekana Temeke na Jini Mrefu kavaa kanzu kaonekana Bondeni siku hizi hatuzisikii ? je popo bawa amefariki ?

    Habari wadau. Kwa wale wajomba na mashangazi above 30s nazani wanazijua sana hizi stori. Dar kulikuwa na vitisho vingi mitaani kwamba jini mrefu kavaa kanzu kaonekana bondeni. Watu wanabadilisha njia. kwenye shule za msingi kulikuwa na vitisho vya mbuzi kaonekana chooni anakuna nazi. Mara...
  7. JamiiForums Tanzania Hijab (KE) Kanzu(ME) yawe mavazi la kitaifa

    Itapendeza kama Taifa tukawa na MAVAZI rasmi ya Kitaifa. Asanteni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…