kanuni za maadili ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PreGE2025 Wakili Addo November: CHADEMA bado wanayo nafasi kutia saini kanuni za maadili

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeelezwa kuwa bado kina nafasi ya kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi ili kipate fursa ya kushiriki uchaguzi. Akizungumza katika Kongamano la Sheria lililofanyika jijini Dar es Salaam jana, Addo November kutoka Chama cha Wanasheria wa...
  2. W

    PreGE2025 Nini Maana Ya kuchapishwa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025

    Leo Aprili 18, 2025 Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 zimechapishwa katika Gazeti la Serikali kupitia Tangazo la Serikali Na. 249 la mwaka 2025. Nini Maana Yake? Taratibu za Chama cha Siasa kushiriki Uchaguzi Mkuu, kwanza ni...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Kisheria Chadema wamezuiwa kushiriki kampeni sio uchaguzi

    Wakuu Kumbe kisheria CHADEMA hawajazuiwa kushiriki uchaguzi Hakuna Sheria ya kuwazuia CHADEMA kushiriki Uchaguzi kisa kuto saini Kanuni za Maadili. Kisheria CHADEMA wamezuiwa kushiriki kampeni sio Uchaguzi. Ikumbukwe Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani utakaofanyika...
  4. E

    PreGE2025 Kitendawili ACT Wazalendo kupinga kanuni walizosaini

    Wakati Chama chama ACT Wazalendo kikiwa kimesaini kanuni za maadili ziliztolewa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), sasa kimetangaza kampeni ya kuzipinga mahakamani kwa madai kuwa zina upungufu mkubwa. Chama hicho kilikuwa miongoni mwa vyama 19 vilivyosaini kanuni hizo Aprili 12, 2025...
  5. S

    Hivi CHADEMA wamejitoa kwenye uchaguzi au wameondolewa?

    Jamani naomba kuuliza mimi sijaelewa. Chadema wametolewa kwenye mchakato wa uchaguzi au wameondolewa? Lipi sahihi kusema wa meondolewa kwenye mchakato wa uchaguzi. Au kusema wamejiondoa kernye mchakato wa uchaguzi
  6. Roving Journalist

    PreGE2025 Tume ya Uchaguzi: Vyama 18 kati ya 19 vyasaini kanuni za maadili ya uchaguzi. Visivyosaini havitaruhusiwa kushiriki Uchaguzi Mkuu

    Dodoma: Zoezi la Utiaji Saini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Aprili 12, 2025 https://www.youtube.com/live/BgdcX0YUdHI?si=B53f6t_tREhsGBeD Vyama 18 vya Siasa Vyasaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi 2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima, amesema kuwa...
  7. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 INEC: Hakuna chama cha siasa kilichowasilisha malalamiko ya kanuni za maadili ya uchaguzi

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima amesema mpaka sasa hakuna chama cha siasa ambacho kimewasilisha malalamiko juu ya kanuni za maadili ya uchaguzi, na kwamba kesho vyama vya siasa vitakuwa Dodoma kwa ajili ya kusaini kanuni hizo. Kupata matukio na...
Back
Top Bottom