Mchungaji wa Kanisa la Neno Evangelism Centre, Pastor James Nganga, amewakosoa vikali wanasiasa na kutangaza kuwa hatawaruhusu kuzungumza mbele ya waumini kanisani kwake.
Akizungumza wakati wa ibada, Pastor Nganga aliwashutumu baadhi ya wanasiasa kwa kutumia makanisa kama majukwaa ya...