kanisa la ufufuo na uzima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. VIDEO: Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la GCTC - Ufufuo na Uzima kuzungumza na Watanzania ktk Mkesha wa mwaka mpya

    https://youtu.be/DQve6MgYYtU?si=gSHWEMj76INC8rxZ Hatimaye tutamuona tena....!! Baba Mungu wa mbinguni katika Yesu Kristo kampa Green Light ya kutoka na kuzungumza tena na Watanzania na ulimwengu baada ya kuwa ktk faragha ya pekee na Mungu Yehova kwa takribani miezi mitatu tangu tarehe...
  2. Hali ilivyo kwenye ibada ya kwanza katika Kanisa la Ufufuo na Uzima

    Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, leo jumapili ya Novemba 30, 2025, wameendelea na ibada za kila jumapili, ikiwa ni jumapili ya kwanza tangu Kanisa hilo kuruhusiwa kuendelea na shughuli zake baada ya kuzuiwa kwa muda. ‎ Novemba 24, 2025, Waziri Mkuu...
  3. PostGE2025 DC Msando: Hakuna mtego kwa Askofu Gwajima, kufungulia kanisa lake

    Serikali imesema hakuna mtego wowote uliowekwa kwa Askofu Dkt. Josephat Gwajima, unaotokana na kufunguliwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima analoliongoza Kauli hiyo ya serikali imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam Wakili Albert Msando kwaniaba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi...
  4. R

    LHRC yasaidia dhamana kwa waumini 52 wa Kanisa la Ufufuo na Uzima waliokamatwa na Jeshi la Polisi

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimefanikiwa kusaidia dhamana ya waumini 52 wa Kanisa la Ufufuo na Uzima waliokamatwa na Jeshi la Polisi tarehe 29 Juni 2025 katika eneo la Ubungo, jijini Dar es Salaam Soma Pia: Video: Polisi wampiga na kumuumiza maeneo ya kichwani muumini wa Kanisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…