kange

Kângë majekrahi (or Standard Albanian: këngë majekrahi; English: "majekrahi songs", "songs over the arm") alternatively kângë malësorçe (or këngë malësorçe; "mountain songs" or "highland songs") is a type of "call to action" monophonic male singing or chanting originating from the Northern Albanian mountains among the Albanian Gheg population.

View More On Wikipedia.org
  1. DuaZaMama

    GE2025 Fatuma Kange akiomba kura kwa wajumbe Same Magharibi

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Same Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fatuma Kange, amewataka wananchi wa jimbo hilo kufanya mabadiliko ya kihistoria kwa kumchagua mwanamke mwenye maono, uthubutu, na dhamira ya kweli ya kuleta maendeleo kwa watu wote. Akizungumza katika mikutano ya...
  2. DuaZaMama

    GE2025 Fatuma Abdallah Kange achukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Same Magharibi

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fatuma Abdallah Kange, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya GS1 Tanzania na Mjumbe wa Baraza la UWT Mkoa wa Dar es Salaam, amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Same Magharibi, mkoani Kilimanjaro. Amesema dhamira yake kuu ni kutatua...
  3. V

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kange Tanga

    Nauza kiwanja changu chenye hati ,huduma muhimu zipo umeme/maji. Kipo Kasera Kange na ukubwa wa zaidi ya ft 650.Bei Tsh 9500000.00. Simu 0712652110
  4. B

    INAUZWA Hostel ya vyumba 12 inauzwa Tanga Kange kasera

    Hostel ya vyumba 12 ndani ya kiwanja cha sqm 412 inauzwa million 60 hostel ipo kange kasera karibu na chuo cha utumishi tanga … mwenye uhitaji anicheki namba za simu 0612630936
  5. P

    Natafuta kiwanja Tanga

    Habari zenu, Nahitaji kiwanja kwa Tsh 1.5 - 2m mkoa ya Tanga kwenye mitaa kama Duga, Mwahako, Tangasisi, Mwang'ombe, Mikanjuni, Mwanzange, Kasera, Msambweni, Magaoni, Mwambani, Mwakidila, Donge, Kange, Pongwe etc. Kwa yeyote alokuwa nayo naomba uniambie. Asanteni.
Back
Top Bottom