kanda

Kanda Shrine (神田明神, Kanda-myōjin, officially 神田神社 Kanda-jinja), is a Shinto shrine located in Chiyoda, Tokyo, Japan. The shrine dates back 1,270 years, but the current structure was rebuilt several times due to fire and earthquakes. It is situated in one of the most expensive estate areas of Tokyo. Kanda Shrine was an important shrine to both the warrior class and citizens of Japan, especially during the Edo period, when shōgun Tokugawa Ieyasu paid his respects at Kanda Shrine. Due in part to the proximity of the Kanda Shrine to Akihabara, the shrine has become a mecca for technophiles who frequent Akihabara.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, sheikh Kadogoo asema Lissu ni mropokaji: je, kama taifa, tuanze kumtathmini Lissu katika lolote asemalo?

    Kama ndani ya chama wamemvumilia wamemchoka, wanamuita mropokaji na muongo, je kama taifa tunabidi tukae chini na kuanza kumtathmini Lissu upya? Kama ana nafasi ndogo tu katika taifa anaropoka maneno hovyo hovyo, huyu anapaswa kuongoza taasisi kama kiongozi mkuu? Kama chadema ina uozo, he si...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Mbowe atashinda kwa kishindo? Angalia namna kanda zilivyojipanga, na Mbowe ana nguvu wapi dhidi ya Lissu

    Kanda ya Pwani-Boniphace Jackob atasimamia shughuli ya kumshona Lissu bila ganzi. Kanda ya Nyasa-Sugu, the bilionea, atamng'oa Lissu jino bila ganzi. Kwa kujipanga na wajumbe wake. Kaskazini? Huko wala haina haja ya kuuliza, kitapita kimbunga ambacho dunia haijawahi ona. Kanda ya ziwa? Wenje...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob: CHADEMA ni taasisi imara, hata mimi naiogopa kwa ukubwa wake, nikiwa na jambo langu naenda kuongea kwa mke wangu

    Boniface Jacob Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Pwani; "CHADEMA ni Taasisi imara ambayo imejikamilisha, (mimi) CHADEMA ilivyokubwa mpaka naiogopa, nikiwa na jambo langu naenda kuongea kwa mke wangu, kwasababu najua wana CHADEMA sina cha kuwatisha wa kuwababaisha"
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA yafanya Uteuzi wa Viongozi wa Kanda ya Kaskazini na Kati

    Kamati Kuu ya CHADEMA, katika kikao chake kilichofanyika tarehe 14 Desemba 2024 jijini Dar es Salaam, ilitangaza uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kwa Kanda ya Kaskazini na Kati. Uteuzi huo umefanywa kwa mujibu wa Katiba ya chama, ibara ya 7.7.16(s), ambayo inatoa jukumu kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Itakuwa vigumu Prof. Janabi kupenya ushindani wa Mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa ila tutumie vigezo sahihi kumpima.

    Mjadala ulioibuka baada ya Janabi kupendekezwa kuingia katika ushindani wa kugombea nafasi ya Mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa ni muhimu ila umepotoka kiasi kikubwa kwa kushindwa kujikita katika mahitaji ya mtu anayetakiwa katika hiyo nafasi. Pamoja na hayo nakubiliana na wanaosema CV ya Janabi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta wakulima wa choroko kanda ya kaskazini

    Habari wakuu. Nahitaji kuwasiliana na wakulima wa choroko mikoa ya kaskazini kwa mazungumzo ya kibiashara.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Dawa za kuongeza uchungu Kanda ya Ziwa ni janga kwa Wajawazito wengi

    Matumizi ya Dawa za kuongeza uchungu Kanda ya Ziwa ni janga kwa Wajawazito wengi Baada ya kusikia hizi stori kwa muda, nikaamua kuingia mitaani kufuatilia kinachoendelea hasa maeneo mbalimbali ya Kanda ya Ziwa (vijijini hasa pembezoni mwa miji na visiwani). Mtaani kuna stori kuwa kuna madhara...
  8. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linawashikilia watu 4 kwa tuhuma za mauji ya Mtumishi wa TRA Amani Simbayao kutoka tukio la Tegeta

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro anazungumza na Vyombo vya Habari. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaaam linawashikilia wanaotuhumiwa wanne, Deogratius Paul Massawe (40), Bakari Idd Bakari (30), wote ni kuli wa Tegeta kwa Ndevu, Omary Issa...
  9. JamiiForums Tanzania Black Magic: Siri ya kwanini Watu hupelekwa Makaburini na Waganga

    BLACK MAGIC: SIRI YA KWA NINI WATU HUPELEKWA MAKABURINI NA WAGANGA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Makaburini ni Makazi ya Wafu àmbapo ulimwengu waô huitwa kuzimu. Kaburi ni mlango wa kuzimu. Yaani pale utakapozikwa ñdipo lango Lako la kuzimu lilipo. Kaburi ni kama...
  10. JamiiForums Tanzania Watu wa Kanda ya Ziwa punguzeni au acheni utaratibu wa kuchanja chale

    Habari wakuu, Hivi hakuna mbadala wa hizo chale, tumieni hata sindano kama lengo ni kuchanja ili dawa iingie, au kuna lingine tofauti na dawa hadi iwe kwa kuchanja na nyembe na vitu vingine vyenye ncha kali ambavyo vinaacha alama kubwa? Nmekutana na baadhi ya watu kutoka kanda hizo wamejaa...
  11. JamiiForums Tanzania Mtanzania Dkt. Wendeline achaguliwa kuwa Mkurungenzi wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika anayesimamia Nchi 22

    Benki ya Dunia, imemchagua Mtanzania, Dkt. Zarau Wendeline Kibwe, kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki hiyo atakayesimamia Kanda Namba Moja ya Afrika inayojumuisha nchi 22 ikiwemo Tanzania, nafasi ambayo Tanzania imewahi kuihudumu miaka 54 iliyopita. Uamuzi wa Dkt. Kibwe kuikwaa nafasi hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Kinachoniuma ni kwamba Bunge la Tanzania halina hata mamlka ya kumuhoji mkuu wa wilaya

    Bunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya. Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao. Sasa angalia ni tunahitaji miaka...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali: Toeni tamko Land Rover Festival liwe tukio rasmi la kufanywa kila mwaka kama tukio kubwa zaidi la kiutalii kwa Kanda ya Kaskazini

    Ubunifu ndo bidhaa adimu zaidi kwa sasa duniani ambayo endapo utaitumia vizuri unaweza kujihakikishia una survive vizuri katika dunia hii ya ushindani mkubwa. Kwa miaka mingi, Tanzania imekuwa ikisemwa kuwa na vivutio vingi ikiwemo rasilimali, mbuga, wanyama ila kwa bahati mbaya haijaweza...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Natoa wito kwa Wazazi wa Kanda ya Ziwa kuwapeleka watoto wao kupata elimu

    Jumamosi iliyopita nilihudhuria mahafali ya Darasa la Saba pale KOM Shule ya Msingi Manispaa ya Shinyanga. Binafsi sikuamini macho yangu kutokana na ubora wa hiyo shule kuanzia taaluma, majengo, walimu, madarasa, mabweni, majiko na mandhari kwa ujumla. Natoa wito kwa Wazazi wa Kanda ya Ziwa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Jina la huu mmea kwa watu wa kanda ya ziwa

  16. JamiiForums Tanzania Nini Sababu ya Mawe Haya Kanda ya Ziwa Kutoanguka

  17. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma Maboresho ya mita za luku kwa wateja wa kanda ya kati na kanda ya kaskazini

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuhusu zoezi la maboresho ya mfumo wa mita za Luku ambapo sasa ni zamu ya mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Zoezi hilo litaanza kufanyika katika mikoa hiyo kuanzia tarehe 26 Agosti 2024...
  18. JamiiForums Tanzania Maboresho ya mita za luku kwa wateja wa kanda ya kati na kanda ya kaskazini

    Jumamosi, 17 Agosti 2024 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuhusu zoezi la maboresho ya mfumo wa mita za Luku ambapo sasa ni zamu ya mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Zoezi hilo litaanza kufanyika katika mikoa hiyo kuanzia...
  19. JamiiForums Tanzania Point tatu muhimu zinazowatofautisha watu wa kanda ya ziwa Na watu wa kaskazini katika utafutaji wa pesa

    Nimeishi kanda ya kaskazini miaka minne nilikuwa ninaishi Moshi mjini lakini nafanya kazi mkoa wa Arusha...Na hizi ndio point tatu muhimu Na moto wa gesi zinazowatofautisha watu wa kaskazini na watu wa kanda ya ziwa katika utafutaji wa pesa. ( 1)Ujuaji yaani kujifanya kujua Kila kitu, watu wa...
  20. JamiiForums Tanzania Wakulima kanda ya kaskazini wahofia njaa baada ya kupata mavuno haba

    Wakulima kanda ya kaskazini wahofia njaa baada ya kupata mavuno hafifu kwa kile wanachodai mvua kukata mapema mwaka huu. Baadhi ya wakulima kutoka katika mikoa ya kilimanjaro ,manyara wamesema ni kweli mvua zilikuwa nyingi sana mwaka huu LakinI pia ziliwahi kukata kabla ya mazao Kufikia stage...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…