Kuna kitu inabidi tujiulize kuhusu makampuni ya simu na huduma tunazostahili kupata kutoka kwao, huduma ambazo ni haki yetu kupata na wala hatupewi msaada. Shida inatokea pale watanzania wapoona makampuni haya ya simu yanatuhurumia kutupatia huduma hizi na kwamba bila ya huruma yao basi huduma...
Hakika hii sasa ni kero ambayo inaonesha Serikali ya CCM imeshindwa KABISA kusimamia kampuni za biashara hususani za Simu na yanafanya chochote watakacho na hakuna cha kuwafanya.
Nimeshtuka asubuhi hii kukuta wameongeza tena gharama za vifurishi na kwa speed hii hadi kufikia December...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye ametaka makampuni ya mawasiliano nchini kuacha mara moja tabia ya kuendelea kutuma ujumbe ambao wateja hawajaomba na kueleza kuwa kwa kufanya hivyo ni kuwapotezea muda wateja wao.
Nape ametoa agizo hilo Mei 31, 2022 wakati...
Waziri wa Katiba na Sheria, George Simbachawene ameitaka ofisi ya Taifa ya Mashtaka kuanza kuwachunguza na kuzichukulia hatua baadhi ya kampuni ya simu za mkononi pamoja na watumishi wake wanaovujisha taarifa za miamala ya wateja wao kwa wahalifu wa mitandaoni.
Akizungumza jana Jumatano...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Bungeni kuwa Serikali inaendelea kuchambua malalamiko ya matumizi ya Bundle kwenye simu.
Amefafanua, "Malalamiko kwamba kuna Bundle zinawekwa kwenye Simu, zinatumika bila Mtumiaji kuzitumia yamekuwepo, yamefikishwa...
Nimesikia jana kuwa kampuni moja ya simu imetoa mawasiliano ya Sabaya mahakamani.
Je, hili linatoa taswira gani kwa wateja wake?
Binafsi siijui sheria hivyo nawaomba wenye uelewa tujulishane.
Watoa huduma za simu nchini wamepongeza uamuzi wa hivi karibuni wa Serikali katika kuangalia upya kodi za miamala ya simu iliyotokana na sheria mpya ya fedha kwa mwaka 2021/22, huku wakisisitiza kuwa uamuzi huo utaongeza chachu katika uwekezaji ndani ya sekita hiyo.
Hayo yalibainishwa jijini...
Kampuni zinalalamika maana yake serikali haikushirikisha wadau muhimu
Wananchi wanalalamika maana yake wabunge waliagizwa na nani kufanya yale
My Take
Rais ajiuzulu