Mwenyekiti wa Bodi ya Kampeni ya Kitaifa ya Mama Asemewe Alawi Abdallah amewahakikishia Watanzania kuwa nchi yao ni tulivu na yenye usalama mkubwa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025
Alawi amebainisha hayo Mkoani Kagera wakati...
Mkiti wa Kampeni ya Mama asemewe Ndg Geofrey Kiliba amewataka Wapinzani kuacha kulalamika badala yake walete hoja na sera nzuri za kuwaeleza watanzania.
Amesisitiza wahoji na kukosoa kwa kutazama ilani ya CCM ilitaka serikali ifanye nini na hawajafanya nini kuliko kuendelea kuzusha mambo...
Maelfu ya wanavyuo wa Kampeni ya Mama Asemewe kutoka vyuo mbalimbali mkoani Dodoma wamefanya matembezi maalum kwa ajili ya kuweka maazimio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Matembezi hayo yamefanyika chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama asemewe ya Ndg. Geofrey Kiliba...
Kampeni ya Mama Asemewe chini ya Mwenyekiti wake Ndg. Geofrey Kiliba, imeandaa kongamano kubwa la wanavyuo kutoka Vyuo mbalimbali mkoani Dodoma, litakalofanyika tarehe 29 Machi 2025 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre.
Kongamano hilo linalenga kuwakutanisha wasomi kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.