kampeni mama asemewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    GE2025 Vijana wa mama asemewe watinga Singida kuhamasisha vijana kushiriki uchaguzi mkuu

    Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe Taifa, Ndg. Geofrey Kiliba ameendelea na ziara yake mkoani Singida ambapo alikutana na vijana maafisa usafirishaji katika wilaya ya Manyoni. Soma pia: Kampeni ya mama asemewe kuandaa kongamano kubwa la wanavyuo Dodoma kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025...
  2. Mindyou

    PreGE2025 Geofrey Kiliba wa Mama Asemewe: Vyama vinapaswa kufikisha sera zao kwa kutumia lugha nzuri, sio kiongozi kila mda anafoka

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu nchini Geofrey Kiliba awaambia Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu kuwachagua viongozi wanaotumia lugha nzuri ili kufikisha ujumbe au sera zao kwa wananchi si viongozi wanaotumia lugha za matusi. Kiliba aliyasema hayo katika Kongamano la Mama...
  3. Harvey Specter

    PreGE2025 Wanavyuo washiriki Kampeini ya Mama Asemewe; Tutaona mengi kuelekea GE2025

    Maelfu ya wanavyuo kutoka vyuo mbalimbali mkoani Dodoma wamefanya matembezi maalum kwa ajili ya kuweka maazimio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Matembezi hayo yamefanyika chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama asemewe ya Ndg. Geofrey Kiliba, yakihusisha wanachama wa kampeni...
  4. upupu255

    PreGE2025 Timu ya Kampeni ya 'Mama Asemewe' watinga mtaani kumsemea Rais Samia

    Katika kuadhimisha Wiki ya Mama, Timu ya Kampeni ya Mama Asemewe imefanya ziara katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, ambapo wameeleza umuhimu wa kuchagua viongozi bora kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 pamoja na kuonyesha kazi kubwa inayofanywa na Serikali ya awamu ya sita chini...
  5. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Kampeni ya 'Mama Asemewe' yaadhimisha miaka 4 ya Rais Samia kwa ziara kwenye daladala

    Katika kuazimisha Wiki ya Mama, ambayo inatambua na kuenzi juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan, Viongozi na wanachama wa Kampeni ya Mama Asemewe walifanya ziara ya kipekee kwa abiria wa daladala mkoani Dar es Salaam, wakijumuika na wananchi kuzungumza na kuwafahamisha kuhusu mafanikio ya Rais...
  6. Mindyou

    PreGE2025 Mwenyekiti wa kampeni ya Mama Asemewe azindua kampeni ya "Wiki ya Mama" kuthamini juhudi za Rais Samia

    Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe, Geofrey Kiliba wikiendi hii alizindua kampeni mpya aliyoiita "Wiki Ya Mama" kwa ajili ya kutathmini na kuthamini juhudi za Rais Samia Mwenyekiti huyo ameainisha kuwa Machi 19, 2025, lengo la kampeni hiyo ya "Wiki Ya Mama" ni kuthamini miaka minne tangu...
  7. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti wa 'Mama Asemewe: Anayetaka tusishiriki katika uchaguzi kwa hoja zozote hana mapenzi na taifa letu

    Mwenyekiti wa Kampeni ya 'Mama Asemewe', Geoffrey Kiliba, ametoa onyo kali kwa wanasiasa ambao wameshindwa kuthamini vizuri ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  8. Cute Wife

    PreGE2025 Mwenyekiti kampeni ya 'Mama asemewe': Tupo tayari kuilinda nchi yetu kwa jasho na damu

    Wakuu, Kuna kampeni ya "Mama Asemewe" tena tena ina mpaka Mwenyekiti?😲😲😳 Kuna watu wanakosa huduma huko kwa umasikini mpaka wanaambiwa waende nyumbani wakajipasue wenyewe ili wajifunge halafu huku hela zinachezewa kwa kulipa chawa. Tusipoamka chawa wanaenda kuangamiza hii nchi! Ila safari...
Back
Top Bottom