kampeni chaumma 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    GE2025 Devotha Minja: CHADEMA, CUF na ACT tuungane adui yetu ni CCM

    Haina utofauti na UKAWA ambayo bado ilishindwa na hicho kichama cha Mafisadi CCM, hivyo siyo tu kuungana bali mikakati makini inahitajika kumnyanganya mtu tonge wakati na yeye ana njaa ni kipengele Huyu Devotha mwenyewe kakimbia Chadema kwenda Chaumma alafu tena anataka waungane kwa nini...
  2. R

    GE2025 Madoga: Wafanyabiashara tutawafutia kodi zisizo na Msingi

    Umasikini tulionao ni wakujitakia ------------ Mgombea ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chma cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Aisha Madoga, amesema chama chake kitalinda wafanyabiashara kwa kufuta kodi zisizo na msingi ndani ya siku 100 za kwanza kikipewa dhamana ya kuongoza...
  3. R

    GE2025 James Mbowe aahidi Vijana Jimbo la Hai kufundishwa Kiingereza wakafanye kazi Mlima Kilimanjaro

    Zingatia hizo sera za Mgombea Ubunge kutoka Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kisha zingatia Mavazi aliyovaa ni ya Makamanda wa CHADEMA Jamaa kahama chama lakini bado itakadi za CHADEMA anatembea nazo hadi kwenye kampeni za CHAUMMA hii ni dharau tosha kwa CHAUMMA Baasi tuendelee kuzingatia...
Back
Top Bottom