Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtambile Pemba kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mohammad Abdallah Kassim ameeleza kuwa katika Jimbo la Mtambile ni sherehe za ushindi za CCM zinaendelea na hakuna dalili za maandamano yoyote
Muhammad ameyasema hayo katika mfululizo wa kampeni za CCM katika...
Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi amekabidhi Boti ya kisasa ya kuwabebea wagonjwa kwa wakazi wa Kisiwa cha Kojani kilichopo Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
Mgombea Ubunge Jimbo la Kiwani kupitia Chama cha Mapinduzi, Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na wananchi katika Mkutano wa ufunguzi wa Kampeni za CCM ndani ya Jimbo la Kiwani uliofanyika katika Uwanja wa Kwareni Muwambe, Wilaya ya Mkoani Pemba, amewaomba wananchi kumpa kura ili aweze...
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni leo Septemba 18, 2025 katika Jimbo la Nungwi, visiwani Zanzibar amesema kuwa nchi yetu Tanzania ipo vizuri kwenye masuala ya Ulinzi na Usalama na kuwataka wananchi kuondoa hofu...
Mgombea wa nafasi ya rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassana akizungumza na Wananchi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo, tarehe 18 Septemba, 2025, katika Jimbo la Nungwi, visiwani Zanzibar amesema ahadi za Chama cha Mapinduzi...
Mgombea Ubunge Jimbo la Donge Zanzibar kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Sadifa Juma Hamisi akizungumza na wananchi kwenye Kampeni inayofanyika Septemba 18, 2025, katika Jimbo la Nungwi, visiwani Zanzibar, amesema kuwa Wagombea Urais Samia Suluhu Hassan na Dkt. Hussein Mwinyi wanafaa kuendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.