kampeni ccm mwanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    GE2025 Sheikh Hassan Kabeke: Yeyote atakayetaka kuvuruga amani na utulivu wa nchi hii teremsha Malaika wako wamchukue wampoteze

    Ila Sheikh amejua kushusha na kupangilia dua na kuzingatia maslahi, amesahau tu kusema watekaji na mafisadi nao wachukuliwe na Shetani waende motoni 😂 😂 😂 ------------- Sehemu ya dua kutoka kwa Sheikh Hassan Kabeke wakati wa mkutano wa Kampeni za Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)...
  2. R

    GE2025 Makonda akizisaka kura za Rais Samia kwenye Daladala Mwanza

    Kwani ile Mikutano ya CCM huwa haitoshi Mgombea wao kujieleza Kuomba Kura kwa Wananchi, au ndo wanajishtukia kuwa sera zao hazina mvuto na ni za uongo Arusha ndo hata hawaelewi Mgommbea wao yupo Mwanza anazurura badala ya kubaki kwa wananchi wake kunadi sera zake
  3. tonicimmobility

    GE2025 Makonda: Sisi tunasaka dola, sio jukumu letu kujua tunashindana na nani?

    Soma pia: Prof. Kitila: Tanzania ni Nchi ya Vyama vingi, tunashindana na Vyama 17
  4. K

    GE2025 Dkt. Nchimbi alivyowasili jijini Mwanza tayari kuanza kampeni Kanda ya Ziwa

    Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. Emanuel Nchimbi, alivyowasilia jijini Mwanza kwaajili ya kampeni za Uchaguzi Mkuu. Dkt. Nchimbi ataanza kampeni zake katika wilaya ya Kwimba, uwanja wa Ngudu mjini ambapo atafanya Mkutano Mdogo wa hadhara, baadae atapita wilaya ya Misungwi...
Back
Top Bottom