kamilisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri Wa Afya Mchengerwa kamilisha bima ya afya kwa wote tujitegemee

    Bima ya Afya kwa wote itabaki kuwa alama kuu ya mhe.Rais Samia katika Taifa letu. ameipambania hadi tumepata sheria . Chonde chonde waziri mpya wa Afya kamalizie jambo hili ukiweka akilini kipato cha watanzania wa hali ya chini... hii ni zawadi kwangu na watanzania wengi wanaoipigania...
  2. M

    Polepole kamilisha kazi ya chuma, tuletee majina halisi ya wauza sembe nchini

    Polepole Polepole Polepole nimekuita mara tatu. Unakumbuka vizuri chuma mwanzoni mwa uongozi wake alitikisa watu kwa kuibua list ya wauza sembe nchini. Wengi walitajwa, na bila shaka chuma aliamua kusitisha ile operesheni. Sasa hebu tuletee list ya wauza Sembe ili Jamii iwaepuke, iwaogope...
  3. MIKOPO YA KAMILISHA

    Naomba niende Moja Kwa Moja kama kichwa Cha habar kinavyojieleza,Kuna MIKOPO hii ya kwenye mtandao,hasa unapotuma Hela pale unapo pungukiwa basi waanakuboost,ni jambo jema shida inakuja hasa pale unapotaka kukopa kwenye hio MIKOPO,ni MIKOPO ambayo inariba kubwa mno,,mfano unakop sh1000,inatakiwa...
  4. Mbowe ni kipi ambacho hajakamilisha, kwanini bado Mwenyekiti?

    Ni kitu gani ambacho bado Mbowe hajakamilisha kinacho muweka kwenye kiti cha uenyekiti hadi sasa? Naomba nitajiwe. Upi mbadala wa Mbowe katika kiti cha uenyekiti wa chama? Uenyekiti wa Mbowe wa kipindi kirefu una faidi zipi na hasara zipi katika demokrasia na ukuaji wake?
  5. TAKUKURU yakamilisha upelelezi dhidi ya Sabaya, kesi kutajwa tena leo

    Wakati kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ikitarajiwa kutajwa leo, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema upelelezi umeshakamilika. Mwananchi lilimtafuta Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro, Frida Wikesi kujua mwenendo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…