kamera za ulinzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania TRC yatangaza Tenda ya Kusambaza, Kufunga na Kuboresha Mfumo wa Kamera za Ulinzi (CCTV) kwenye mabehewa ya abiria ya SGR

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetangaza Tenda ya Kusambaza, Kufunga, na Kuboresha Mfumo wa Kamera za Ulinzi (CCTV) kwenye mabehewa ya abiria ya Reli ya Kisasa (SGR). Tenda hiyo inahusisha; Kusambaza kamera maalum za reli (4 MP IP CCTV), mifumo ya kurekodi picha (8-Channel NVRs), na vifaa...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dodoma 2025 limetenga milioni 300 kuweka kamera za ulinzi barabarani (CCTV ) yakitokea matukio kama la Tundu Lissu 2017 zinachakachuliwa

    Badala ya kubana matumizi/ kuondoa matumizi mabaya wakati huu ambao misaada imesitishwa mathalani sekta ya afya kutoka USAID fedha kama hizi zingesaidia kuziba gaps zinanunuliwa CCTV camera ambazo ukitokea uhalifu hazitoi msaada wowote na kukaa kama mapambo tu... mfano tukio la Lissu 2017...
  3. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Uchawi unaweza kuonekana kupitia CCTV?

    Inasemekana tukio hili la UCHAWI limenaswa huko Zanzibar kupitia CCTV. Kumbe Teknolojia inaweza tumika kubaini uchawi
Back
Top Bottom