kambi za jeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MakinikiA

    Hizi base zote ziliwekwa kwa ajili ya nini? Hata mtoto akiulizwa anajibu kwa urahisi

    Hizi base zote ziliwekwa kwa ajili ya nini? Hata mtoto akiulizwa anajibu kwa urahisi
  2. Mkalukungone Mwamba

    Augustino Polepole: CDF Mkunda jeshi unalipeleka tofauti sana na tulivyofundishwa, Polisi wanateka watu halafu wanawapeleka kambi za jeshi

    Moja ya habari inayopata nafasi ni kumuhusu Augustino Polepole kaka wa Humphrey Polepole akieleza kinachoendelea sasa kuhusu mdogo wake. Lakini mbali na hivyo ameeleza namna Mkuu wa Majeshi namna anavyolipeleka jeshi ni tofauti na walivyofundishwa, ambapo kwa sasa jeshi wanashirikiana na...
  3. Carlos The Jackal

    PostGE2025 Tetesi zinadai kua Makaburi ya Pamoja yalichimbwa katika Kambi za Jeshi , Miili mingine iliteketekezwa Kwa Matunuri ya moto Viwandani!!

    Kila kitu kitakufa Wazi. Jambo pekee nalowahakikishia Watanzania wenzangu !. Alichokifanya Samia na Genge lake, Hukumu yake haitaishia Kwao tu, Bali Kwa VIZAZI vyao yaan Ikijijua ni mtoto, mjukuu ,kituuu wa Hili Genge, wewe jihesabie Hukumu yako. Haw wasengee wameua sana
  4. M

    TEHRAN: iran imesema Wanajeshi wake wawili wameuawa baada ya mashambulizi ya Israel kwenye kambi za jeshi Tehran.

    Jeshi la Iran limesema,Wanajeshi wake 2 wameuawa na wengine 16 kujeruhiwa baada ya Israel kufanya mashambulizi ya kijeshi Tehran leo asubuhi. Mashambulizi hayp ni jibu la Israel kulipiza kisasi mashambulizi ya Iran nchini Israel Oktoba Mosi mwaka huu. Source: Aljazeera English.
  5. M

    Jenerali wa Iran asema tulilenga Kambi za Jeshi za Israel zinazohusika kufanya uharamia wa kuua watu wasio na hatia!

    Jeneral Mkuu wa vikosi vya IRGC vya Iran amesema kuwa Iran ilijaribu kuwa wavumilivu baada ya Israel kubreach sovereignity yao kwa kuingia ndani na kumuua mgeni wao Ismail Hanniyeh aliyekuwa amekwenda kuhudhuria kuapishwa kwa rais mpya wa Iran. Akasema kuwa baada ya Israel kumuua Jeneral wa Iran...
  6. Webabu

    Israel hawana cha kutuambia kuhusu Hizbullah

    Ni wazi kuwa kitisho cha kupigana na Hizbullah ana kwa ana upande wa Israel wamekiona na wameamua waufyate tu. Inavyoonekana Hizbullah hawajafikiria kwamba vita bado havijaanza rasmi na ndio maana wanarusha makombora ya katyusha mpaka 200 kwa siku ambayo yanapiga kambi za jeshi la Israel...
Back
Top Bottom