Wanabodi
Makala yangu gazeti la Mwananchi la leo
Bunge la 12, linatarajiwa kuvunjwa hivi karibuni, hii ni makala ya kuwaomba Watanzania tusiruhusu tena Bunge lisilo na kambi rasmi ya upinzani kama Bunge hili la 12!, limekuwa ni Bunge dhaifu kutokana na kukosa meno, hivyo limekuwa kama ni Bunge...
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA WAZEE NA WATOTO, MHESHIMIWA CECILIA DANIEL PARESSO (MB), KUHUSU UTEKELEZAJI WA MPANGO WA MAENDELEO MWAKA WA FEDHA 2018/19 NA MPANGO WA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA, KWA MWAKA...