Kamati ya amani ya mkoa wa Mwanza imesema, kwa kushirikiana na serikali pamoja na viongozi wa dini zote nchini, itaendelea kutoa hamasa kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwa uhuru na haki tarehe 29 Oktoba 2025, huku ikiwahimiza wananchi kutumia haki yao ya msingi kwenda kuchagua...
Kamati ya Amani na Jumuiya ya Maridhiano Tanzania imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka miwili madarakani na kusema katika kipindi hicho kwa kiasi kikubwa ameifungua Tanzania katika mambo mbalimbali ikiemo uhusiano wa kimataifa, Demokrasia na ukuaji wa Uchumi kupitia ujenzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.