MWILI wa kijana mmoja alietambulikana kwa jina la Noel Jengeni Mlilo (27), mkazi wa Wawi wilaya ya Chake Chake ambae ni mwenyeji wa mkoa wa Songwe Tanzania Bara, umepatikana umetelekezwa vichakani katika kijiji cha Mtuhaliwa, wilaya ya Mkoani.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, kaka wa...