Dunia ina jumla ya kalenda 33 zinazotumika hadi hivi sasa, kalenda tunayoitumia nchi nyingi za Afrika ni hii ya Gregory mkuu, Je wazijua Kalenda nyingine?
Kalenda ya kiebrania inayotumiwa na waisrael kwao huu ni mwaka 5780 – 5781. Kalenda iliyo na miaka mingi ni ‘Holocene calender’ hii...