Timu ya Kagera Sugar FC ya mjini Bukoba, imeshuka rasmi daraja na hatutakuwanayo msimu ujao kwenye ligi kuu kufuatia ushindi wa Pamba jiji iliopata leo dhidi ya KenGold FC.
Kwa ushindi wa leo, Pamba jiji imefikisha alama 30 kwenye nafasi ya 11, ikifuatiwa na Tanzania Prisons nafasi ya 12...