kada wa ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama kada wa CCM anatekwa na kuumizwa alafu Rais na mwenyekiti wa CCM yupo kimya, utekaji na mauaji havitaisha

    Watu wengi tulitarajia atoe hotuba kali sana kupinga haya masuala ya utekaji na mauji. Lakini hata alipo uliwa Mzee Ali Kibao, rais alitamka kifo ni kifo tu👇
  2. JamiiForums Tanzania Kada wa CCM amwambia wazi rais Samia, haogopi kutekwa wala haogopi mtu

    Kada wa CCM kachafukwa👇 Pia Soma: Wakili Dkt. Masoud: Video iliyowekwa kichwa cha habari kuwa: 'Kada wa CCM amvaa Samia, hatukuogopi wewe Siyo Mungu' imepotoshwa
  3. JamiiForums Tanzania Hatuko salama kama kada wa ccm naye kapigwa vibaya sana

    Kuna video inasambaa akimuonyesha kada wa ccm Bakari akiwa na majeraha makubwa mwilini inasemekana alitekwa na wasiojulikana amepigwa sana yaani hadi vidonda Kisa alimtetea nchimbi 😔 Soma Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili
  4. JamiiForums Tanzania Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili

    Bakari Kazungu anadaiwa kutekwa na ‘watu wasiojulikana’ na kufanyiwa vitendo viovu. NOTE: Video imeondolewa ili kuondoa sehemu sensitive na kulinda utu wake Soma machache aliyowahi sema: 1) CDE Bakari Kazungu: CCM ukisema ukweli unaonekana wa ajabu 2) Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche...
  5. JamiiForums Tanzania Nini haswa maana ya kuwa kada wa CCM katika zama za siasa za ushindani wa vyama vingi?

    Leo sitaandika makala ndefu kama ilivyo kawaida yangu. Natamani kupata maoni ya wadau kuhusu mtazamo wao wa ni nini haswa maana ya kuwa kada wa CCM katika siasa za vyama vingi. Nashawishika kuanzisha makala hii kutokana na wito wa baba wa Taifa kuwa kazi ya kutetea maslahi ya Wanyonge wa nchi...
  6. JamiiForums Tanzania Mwandishi na kada wa CCM Salim Kikeke: Nina matumaini makubwa na ripoti ya Jaji Chande. Itatuambia nini hasa kilichotokea

    Kada wa CCM na Mwandishi wa Habari Salim Kikeke anasema ana matumaini makubwa na Tume ya Jaji Chande ambayo itatoa report yake kesho kwa rais Samia ambapo amesema kuwa anatarajia kupata ukweli kutokana na ripoti ya tume hiyo. Soma Pia: Maulid Kitenge: Nina imani kubwa na Tume ya Jaji Chande...
  7. JamiiForums Tanzania John Heche ashiriki mazishi ya Mama Robahi Samson, akemea utekaji na mauaji yanaendelea

    John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara), ameshiriki mazishi ya Mama Robahi Samson yaliyofanyika leo tarehe 3 Februari 2026 katika Kata ya Sirari, Kijiji cha Buriba Sirari wilayani Tarime Mkoa wa Mara. Marehemu ni mama mzazi wa kada wa CCM, Sinda Geteba, aliyetekwa. Sindar Ghiteba, ambaye...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Zakayo Wangwe (Kada wa CCM) akimbia nchi. Adai wanataka kumuua

    Kada ya CCM Tarime mkoa wa Mara Zakayo Wangwe aelezea kwa kina hali ya siasa Tarime na changamoto iliyopo ikiwa mbunge wa CCM Waitara atapitishwa kugombea 2025 Kada Zakayo Wangwe amesema kuwa kuna makundi ya CCM Halisi na CCM wakuja ya Waitara yanayokinzana na kumlaunu mbunge Waitara ndiye...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Morogoro: Kada wa CCM, Alex Chage adaiwa kuchukuliwa nyumbani kwake na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi usiku wa manane

    Watu wenye silaha, wakiwa na gari aina ya Toyota Landcruizer isiyo na plate number wamevamia nyumbani kwa mwanaharakati wa mazingira na kada wa CCM, Alex Chage mjini Morogoro majira ya saa 8 usiku wa kuamkia leo, na kumchukua kwa nguvu mbele ya mke wake na mwanae. Watu hao waliojitambulisha...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kada wa CCM Godfrey Malissa: December 9 kutakuwa na maandamano ambayo hajawahi kutokea. Samia imefika muda wa kuachia ngazi

    Mzee Malissa amekuwq mbadala wa Polepole? Anatoa Amri rais Samia ajiuzulu huko FB na Twitter. Anadai iundwe serikali ya mpito. Rais awe mwanajeshi au mstaafu au aliyepo jeshini "Kutakuwa na maandamano ambayo hayajawahgi kutokea Afrika. Maandamano hayo yatakuwa na utulive. Lengo la maandamano...
  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kada wa CCM, Manson Kimbo: Vijana tukosoe viongozi kwa heshima, tushiriki uchaguzi kwa amani na tukachague CCM

    Mdau wa maendeleo na kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Manson Kimbo, amesisitiza kuwa vijana wanapaswa kuwa mstari wa mbele katika kulinda amani ya Tanzania kwa wivu mkubwa. Amesema maendeleo ya taifa lolote hutegemea amani, hivyo amewataka vijana na jamii kwa ujumla kuepuka kushiriki katika...
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kada wa CCM, Baraka Shamte: CCM lazima imsaidie na kumtetea Rais Samia kwa huu unafiki, usaliti na propaganza zinazoendelea Mitandaoni

    kada wa chama cha mapinduzi (CCM), Baraka shamte amewataka chama kimsaidie Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hssan katika kumsafisha kwa propaganda zinazotokea kwenye mitandaoo ya kijamii Chanzo: Mnana TV
  13. JamiiForums Tanzania Sijaona Kada wa CCM mwenye uwezo wa kujibizana na Polepole

    Hii ipo wazi kabisa. Hata Steven Wassira na ujanja wake wa kupangua hoja amekwama. Mfano Wassira anakiri kuwa ni kweli katiba ya JMT imekiukwa maana rais Samia ametumika zaidi ya miaka 3. Hili la utamaduni wa kumuachia aendelee ni kinyume na katiba ya JMT. Mkuu wa mkoa wa Dar kuropoka kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Kada wa CCM ampasua Rostam Aziz!

    ==== Alichokizungumza ni kuwa hoja za Rostam Aziz ni dhaifu kwenye kumjibu Humphrey Polepole. Amesema hayuko upande wa Polepole lakini hoja za Rostam Aziz si sahihi hivyo ametoa wito kwa CCM kutumia wasomi wa kumjibu Polepole Pia Soma >> GE2025 - Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi -...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Kada wa CCM Simiyu alalamikia mchakato wa kuteua wagombea, asema bila haki tutapata wabunge ambao si wazuri

    Wakuu Aliyekuwa mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Meatu mkoani Simiyu kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Godfrey Sitta Sukari, akitoa malalamiko yake dhidi ya viongozi wa Chama Mkoa na Wilaya akidai kuhusika kwao kuvuruga zoezi la uteuzi wa wagombea mkoani hapo.
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Kada wa CCM ageuka mbogo sakata la uteuzi wa wagombea ubunge, majina hayakufika Dodoma

    https://youtu.be/BhcymOXCtEM Kamati kuu ya Chama wajaribu kurudia na kutazama upya mchakato wa kuteuwa wagombe wa Ubunge hususani kutoka Jimbo la Meatu ili haki itendeke zaidi. Ambapo viongozi wa chama waje Jimbo la Meatu wasikilizeni wananchi kilichokuwa kinafanyika, ambapo viongozi wa chama...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwandishi wa Habari na Kada wa CCM, Harubu Kabwe: Nitamlinda Rais Samia kwa gharama yoyote, yeye ni Lulu ya Taifa letu

    Mwandishi wa Habari na Kada wa Chama cha Mapinduzi, Harubu Kabwe amesema; "Nitamlinda Rais wangu Samia Suluhu Hassan kwa gharama yoyote ile, Rais ni Lulu kwa Taifa letu la Tanzania"
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM Simiyu atoa tuhuma nzito za rushwa kwa Kamati za Siasa za Wilaya na Mkoa

    Kada wa CCM Mkoa Simiyu, Godfrey Sitta Sukari akizungumza na waandishi wa habari alieleza kupitia uzoefu wa kuwa mwanachama muda mrefu, alisema kumekuwepo mabadiliko ya hivi karibuni ya kanuni na vifungu kwenye katiba ya chama ambapo kama vijana lazima wakosoe na kupongeza kwa mema Pia ametoa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM ahamia CHAUMMA

    Aliyekuwa Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Peter Buhime amejiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), na kukabidhiwa kadi na Mkurugenzi wa Mawasiliano kwa Umma wa Chaumma, John Mrema katika Mji wa Biharamulo Peter, aliyewahi kuwa mtia nia wa Ubunge Jimbo la Biharamilo kupitia CCM...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Kada wa CCM na sheikh anayefurahia Watanzania watekwe na kuuwawa ili kulinda Amani ya nchi

    Ndio kusema hajui kama kuna Mahakama? Amependekiza watu wakatwe vichwa ili amani iendelee kuwepo 👇
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…