Wakuu hii ndo Ccm ninayoijua Mimi ambayo haijali wewe ulikuwa nani , umejitoa kiasi gani n.k
Mpaka Sasa Justin kimodoi mwili wake haujaletwa kwao Bukoba kwa ajili ya mazishi .
Changamoto kubwa ni pesa.
Hii ndo Ccm
Wabongo mnaoishi ulaya acheni sifa za kijinga .
Mkipata wekezeni
Hizo hela mnatuma huku kwa ndugu zenu wanakunywa mapombe kuhonga then mkifia huko majuu maiti zenu zinashindwa kusafirishwa
Watoto wenu mnawaacha katika umasikini.
Mkizeeka pia mnatia aibu.
Kuna mmoja ameona amefia huko majuu...
Naomba Serikali , isaidie kutoa support ya kusafirisha mwili wa marehemu Justin kimodoi .
Cc Waziri Mkuu
Pia soma > TANZIA - Mdau wa maendeleo Kagera, Justin Kimodoi afariki dunia nchini Marekani baada ya kupata ajali
Bajeti inayohitajika ni $35K Ila mpaka sasa bado sana Kama mnavyoona kwenye...
Nimeamini watu wazuri hawaishi sana.
Wakuu wakazi wa Bukoba Mjini yule tajiri wetu mzalendo MTU wa watu amepata ajali na kufariki
Pia soma > Justin Kimodoi anafanya kazi kubwa sana, naomba uje ugombee Ubunge Bukoba Mjini
Rip Justin kimodoi
Kijana smart aliyekuwa anawasaidia watu with no...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.