UN: The Commission of Inquiry must be independent, ensure accountability, justice, reparations, non-recurrence, and include full participation by victims and civil society.
EU: Any inquiry must be independent, transparent, and inclusive—involving civil society, faith-based groups, and all...
Mwenyekiti wa Kamati ya Haki za Binadamu ya Bunge la Marekani, Chris Smith, amekemea vikali vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu na mateso dhidi ya waumini wa dini mbalimbali duniani. Katika hotuba yake, Smith ameorodhesha nchi zinazokandamiza uhuru wa kidini kuwa ni China, Urusi, Nikaragua...
Ili Jumuiya za Kimataifa na Mataifa ya Nje ziweze kutuelewa ni vyema IGP aweze kupelekwa The Hague - ICC kufunguliwa mashitaka ya mauaji yaliyofanyika.
Hii itasaidia Sana IGP wajao wasiweze kutoa AMRI kama hizi katili za kuua watanganyika na kutoa AMRI za Curfew za kibabe.
Chao
Moja kwa moja.
Kiuhalisia umoja wa mataifa na Jumuiya nyingine za kimataifa hakuna la maana wanalofanya katika kuwasaidia Wananchi wa kawaida katika mateso na manyanyaso kutoka kwa serikali zao na viongozi dhalimu . Mifano ipo mingi sana ila nimeweka michache hapo chini 👇⬇️
1. Iraq chini ya...
Wanabodi,
Huyu Mheshimiwa ni Double Agent wa Tanzania na CIA, kwa kifupi ni CIA matukio yake yakukumbukwa Awamu ya Tano ya JPM, aliweza kuleta Ndege kubwa yenye huduma za hospital Moja kwa Moja kutoka Marekani hadi KIA na kuwachukua manusura watoto waliopata ajari ya Lucky Vicente MKOANI Arusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.